Inavyoonekana alishitukiza, kwahiyo hakuwa na muda wa kufikiri, na ndio maana hakuchukua maamuzi sahihi. Nadhani angekimbilia upande wa kulia, basi lisingemgusa. Badala yake, yeye amekimbilia upande huohuo. Hata hivyo, sikio la kufa hakisikii dawa (au siku ya kufa nyani miti yote hutereza).