Kwa ombi la mkuu Faana kuwa na mada maalum ya matukio ya cctv kcameras hasa ukizingatia tukio la leo asubuhi ambalo kama sio playback ya hilo tukio.. Polisi mhusika angetuingiza chaka
Nimepita eneo husika saa nne ila kulikuwa na damu nyingi chini, walikuwa wanafuta na maji!! Eneo hakuna mchanga!! Ila pia ni eneo omba omba wanatafuta riziki, sijakua kama wamesalimika, kama waliwahi