The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,058
Hizi camera ni nzuri na nimependa ufanyaji wake wa kazi. Changamoto nnayoiona ni kwenye uhifadhi wa kumbukumbu za matukio na maelezo ya vifaa vinavyotakiwa.
Kwa mfanno, cctv za kawaida, zinakifaa kinaitwa DVR ambacho ndio kinaunganisha na kuendesha mfumo wote wa cctv.
Sasa kwenye hizi camera, kwanza sijaelewa hiyo memory card ya kumbukumbu inawekwa kwenye kila camera au kuna kifaa kimoja kinachoziunganisha zote?
Pili router sio lazima iwe ni hitaji la kufunga hizi camera, kinachotakiwa uwe na Wireless Internet, napo sijajua vizuri uwiano wa camera na bandwidth inayohitajika. Mwenye Camera moja hawezi kuwa na mahitaji ya bandwidth kama mwenye camera sita au kumi.
Nnachopenda kujua, kama hakuna kifaa kama DVR na zinategemea wireless internet pekee, inamaana pale inapotokea hakuna wireless siwezi kupata matukio yaliyotokea wakati huduma ya internet ilipokua haipo?
Mwisho kabisa, mfumo wake wa umeme ukoje, kila camera inajitegemea au zimeunganishwa kwenye kifaa kimoja? Zina battery au backup ya kuweza kusaidia pale inapotokea hakuna umeme?
Nashukuru sana, ntakachofanya ntapitia hiyo model uliyoitoa kupata maelezo na specification zaje huenda ikanipa vitu muhimu. Ila kwa ufupi nimezipenda.