CCTV CAMERA za kisasa wireless

CCTV CAMERA za kisasa wireless

Haujajibu swali, otherwise na wewe hujui...., umeulizwa how does it work?, camera - Internet - gadget(simu, pda, PCD), mfano muunganiko wa camera na simu ni through a certain App ama!?, kua kwenye eneo lenye coverage ya Internet ni jambo moja, how can the camera access such signals and sends data to your mobile device!?, does it need a SIM card!?
Jamiix!! Sawa mkuu labda sikukuelewa,ndio kwenye android&iphone katika store zao kuna appl ya hizo kamera ambapo kuna details itakuomba za kamera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda hii kifaa ila tatizo langu ni guarantee tu....je wewe unayefanya hii biashara ni mtu binafsi au ni kampuni? Nikinunua nikitegemea angalau kifaa kidumu angalau zaidi ya mwaka mzima halafu kikabuma ndani ya miezi mitatu au miwili ntakupataje?
Ofisi yako specifically iko wapi ambako atleast kifaa kikisumbua niwe na eneo ambalo naweza kurudisha kifaa hicho?
Mkuu Burton86jm naona hujatolea maelezo swali hili
 
Bei ni reasonable, japo naiona changamoto ya kununua bando mara 2:
  1. Unanunua bando ya kuunganisha Kamera na Mtandao ili video ziweze kutumwa mtandaoni
  2. Unanunua bando la kutoa video mtandaoni na kuleta kwenye simu.
Jambo hili lazima wateja waeleweshwe vizuri maana lina gharama kubwa zinazojirudia. Wanaswa waeleweshwe kuwa atahitaji kutumia simu pale kunapokuwa na dharura au jambo la muhimu, la sivyo matukio yote yatahifadhiwa ktk memory,flash, etc. Jambo la msingi ni kwamba bando 2 zinahusika. Huwezi kuona kitu kwenye simu kama hakikutumwa kwanza mtandaoni. Na pia kukiona unahitaji mtandao. Ama sivyo ukitaka kutumia bado moja kwa kila kitu, basi usiende mbali na pale unaporekodi ili mtandao unaotumika kutuma utumike na kufungua.
Bando la TTCL linafaa nadhani itakuwa bei rahisi na hv wanaweza kukuunganishia WLNA

Bando la TTCL linafaa nadhani itakuwa bei rahisi na hv wanaweza kukuunganishia Wired Network Router yao!
Au bando lipi ni nafuu zaidi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bando la TTCL linafaa nadhani itakuwa bei rahisi na hv wanaweza kukuunganishia WLNA

Bando la TTCL linafaa nadhani itakuwa bei rahisi na hv wanaweza kukuunganishia Wired Network Router yao!
Au bando lipi ni nafuu zaidi...

Sent using Jamii Forums mobile app
TTCL wanajaribu kuvuta wateja, hivyo lazima wawe na bei rahisi. Cha msingi ni kwamba unalipia bando kupitia connection(line) 2 tofauti na hapo ndo penye gharama.
 
Mkuu Burton86jm naona hujatolea maelezo swali hili
Mtego wa noti samahani mkuu,sikuona swali hili.Mie ni mtu binafsi sio kampuni,mjasiria mali mdogo ambae bado natumia mitandao ya kijamii kama platform kibiashara tu kwa bidhaa tofauti tofauti zinazousiana na Audio & Video,upatikanaji wangu kwasasa nipo Mkoa wa Katavi kikazi ila makazi Mbeya,Bidhaa zangu unazipata Tanzania nzima kwa kumtumia mtu nae muamini katika mkoa uliopo ambae atakupa na utamlipa bei kifaa/vifaa ulivyooda,upande wa guarentee sina ila sio kuamanisha bidhaa ni mbovu maana nimeuza hizi camera huu mwezi wa nne kiukweli sijapata malalamiko toka kwa wateja wangu hata mmoja kwamba imeleta itilafu,pia hata kama itatokea imeleta itilafu tapenda kujua imekufa kwasababu ipi??...sio iwe hata short ya umeme kwako imeungua haiwaki unataka urudishe?,sijui kama umejibu sahihi? ila ndio hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Specifications of CT-P721 CCTV CAMERA

1.HD res, automatic switch day and night· Around 355 degrees, down 90 degrees mobile phone remote control rotation

2.Remote video, local video recording, alarm, multi-function, meet your different needs;Support 32 or 64 GB memory card

3.Support wired and wireless links, no need computer, Internet can be easily set WIFI network

4.The use of advanced Cloudlink P2P network transmission technology, intelligent switch code stream, adaptive various network environment

5.The 3 dvoice voice engine technology, improve the network two-way voice quality

6.H. 264 Main Profile compression algorithm, image more clear, screen more smooth

7.The real pure mobile operation, intuitive and humanized operation interface, without training, with 2 minutes

8.Cross-platform support IOS, android and other mobile devices, let you love family anytime and anywhere

A multi-platform video playback, support for ios, android, mobile phones, tablets and PCS to view
 
Hizi camera nimezipenda sana hasa kwa kuzingatia urahisi na ufungaji wake usiohitaji kuweka waya nyingi zaidi ya zile za umeme kwa ajili ya adaptor. Ieleweke kwamba internet ni kurahisisha mtu aliyeko mbali kuona matukio yanayoendelea sehem zilipofungwa camera, kama hakuna internet inamaana utaangalia matukio yaliyorekodiwa tu kipindi kilichopita.

Tatizo kubwa ni ile kukosa backup wakati umeme unapokua umekatika, kama nimeelewa vizuri kila camera ina adaptor yake, inayoungwa moja kwa moja kwenye umeme. Endapo umeme hautakuwepo itakua vigumu kupata matukio ya kinachoendelea.

Pili, mfumo wake wa kuwekea kila camera memory card kwa ajili ya kuhifadhi matukio nao hauko rafiki sana, ingependeza zaidi kama zingekua zimeunganishwa na sehem moja ukiweka hard disk kubwa unapumzika kwa kuwa matukio yatahifadhiwa kwa muda mrefu.

Lakini bado naona zinakidhi haja hasa kwa matumizi ya nyumbani na ofisi ndogo au biashara inayohitaji camera 1, 2 au 3.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom