Burton86jm
JF-Expert Member
- Jul 28, 2011
- 616
- 183
- Thread starter
- #21
Unanunua routerya kuweka modem au simcard na kuweka mb zako, hapo tayari una internetKiukweli nimezipenda na bei ni nzuri.
Lkn sijaelewa hiyo access ya inernet inapatikana vp eneo la kamera na simu yangu.
Hebu toa maelezo hapo
Unanunua mb za camera na kwenye simu, au ni kwenye simu peke yake. Nikiwa na maana nikiwa mbali lazima kuifeed camera mbUnanunua routerya kuweka modem au simcard na kuweka mb zako, hapo tayari una internet
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye camera inatumia router na wewe utatumia simu kwa kifurushi unachotumiaga kwenye bando za mitandaoUnanunua mb za camera na kwenye simu, au ni kwenye simu peke yake. Nikiwa na maana nikiwa mbali lazima kuifeed camera mb
Labda WiFi??Kiukweli nimezipenda na bei ni nzuri.
Lkn sijaelewa hiyo access ya inernet inapatikana vp eneo la kamera na simu yangu.
Hebu toa maelezo hapo
Ndio mkuu kamera pale ilipo itatumia WiFi,yaani kuwe na Router,ndicho nilichoamanishaLabda WiFi??
Uimara wake ukoje mkuu? Isije kuwa ndani ta miezi mitatu kitu hakifanyi kazi tena. Guarantee ni muda gani? Nataka niwe mteja wakoNdio mkuu kamera pale ilipo itatumia WiFi,yaani kuwe na Router,ndicho nilichoamanisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Router ni nini?Ndio mkuu kamera pale ilipo itatumia WiFi,yaani kuwe na Router,ndicho nilichoamanisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Router ni kifaa kinachotafuta njia (route) ya kwenda kwenye internet. Ndo kifaa kinachokuunganisha kwenye internet. Chaweza kuwa PC ya kawaida yenye SW za routing au yaweza kuwa kifaa mahsusi chenye ukubwa unaotofautiana kulingana na mahitaji.Router ni nini?
Ndio mkuu kwa uwezo wa mchana ni mita 30 na usiku uwezo unapungua mita 20
Sasa ukiwa na sehemu zaidi ya moja then zipo sehemu tofauti inakuwaje hapo?Ndio mkuu kwa uwezo wa mchana ni mita 30 na usiku uwezo unapungua mita 20
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema complete package ni Tshs ngapi ili uwezo kuona ktk monitor na simu maana hiyo Bei uliyotoa ni ya kamera kavu tu! Correct me if I'm wrong!CT-P721 ni CCTV camera za kisasa wireless ambazo zinafanya kazi na simu ANDROID na IPHONE.
Una uwezo wa kuifunga sehemu unayoitaka kama ofisini,nyumbani,apartment,hotelini au guest house eneo la reception au parking na ukawa unafatilia kinachoendelea kwa kutumia simu yako unastream live eneo lile,hapa kinachozingatia ni eneo ulilofunga kuwa na access ya internet tu.Basi hapo utaona kinachoendelea hata uwe njee ya mji au njee ya nchi au njee ya bara la afrika kwa wakati.Pia inakupa fursa katika simu yako hapo hapo kupiga picha eneo hilo linalooneshwa na kamera kupitia simu yako na kurekodi video,pia kuweza hata kumsemesha mtu unae muona kwenye kamera maana kamera ina spika ndogo ambayo anaweza kukuskia.Mbali na hilo pia ina sehemu ya TF card au memory card ambayo nayo inaweza ikawa inarekodi muda wote,16GB ni wiki nzima,32GB ni wiki mbili na 64GB ni mwezi hapo ni 24/7
MOTION DETECTION
Katika motion detection hii itakuwa nafasi ya kuitambulisha cctv camera maeneo muhimu ambayo utataka yakiguswa au kitu kupita mbele yake upate taarifa kwa e-mail,mfano kama mlango,droo,dirisha au sehemu yoyote utapata notification kwenye simu yako kama e-mail,Zinapatikana kwa Tsh.150,000/= tu.Mawasiliano 0754 83 55 43![]()
![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app