fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,269
Can I ask you,what the hell power or authority to decide that the case was a bogus one?It’s now not even debatable that CCM know how to play the game of politics better than anybody.
They have an indescribable svengali type of hold on the rest of the opposition parties that renders them [the opposition] functionally ineffective.
For the life of me, somebody explain it to me. Make it make sense;
1. Unakamatwa na kufungwa bila kosa/ makosa.
2. Unafunguliwa mashitaka ya uongo/ kizushi ambayo hayana dhamana [ili usote mahabusu].
3. Tunaambiwa eti wewe ni gaidi na ushahidi upo unaothibitisha hilo [licha ya kwamba mtu yeyote mwenye akili anajua wewe siyo gaidi].
4. Kesi inaendeshwa kwa mwendo wa konokono kwa makusudi tu ili uendelee kutaabika jela.
5. Kwa vile mashitaka ni ya uongo/ kizushi, kesi inadhihirika kuwa kituko baada ya mashahidi kuanza kutoa ushuhuda wao.
6. Baada ya miezi takriban minane [8], mwendesha mashitaka ananena kuwa hana nia ya kuendelea na kesi.
7. Sijui hiyo nia ya kutotaka kuendelea na kesi imemjia lini? Labda alioteshwa usiku [emoji1787].
8. Mashitaka yanatupiliwa mbali. Unaachiwa huru baada ya kusota lupango kwa muda wote huo.
9. Wamekupotezea muda kwa mambo ya kizushi. Wamekutesa. Wamekunyanyasa. Wamekuvunjia heshima. Wamekuzushia mambo ya ajabu.
10. Licha ya yote hayo ambayo ni dhahiri shahiri waliyafanya kwa makusudi tu ili unyanyasike, hutopewa fidia yoyote ile.
11. Ulichoambulia ni kualikwa ikulu kwenda kukutana na mtu aliyesababisha madhila yote hayo dhidi yako. Kwenye picha nilizoziona, sikuona bilauri za juisi kama tulivyowahi kuziona hapo zamani mlipoitwa ikulu baada ya kupigwa virungu na kumwagiwa maji ya upupu. Safari hata juisi ya Sayona hukupewa! Au ulikunywa?
12. Unatoka jela, badala ya kukutana na kuongea na watu waliosimama na wewe muda wote huo ambao uliporwa uhuru wako, wewe unaenda moja kwa moja kuonana na kucheka cheka na mtu aliyekusababishia madhila yote hayo uliyoyapitia katika hizo siku 200 na kitu.
13. Umekosea sana aisee. Yeye ndo alipaswa aje kwako kukuona. Yeye na serikali yake ndo wanapaswa kukuomba radhi kwa usumbufu waliokuletea wewe pamoja na familia yako. Wao ndo wanapaswa kukufidia vyote ulivyopoteza pindi walipokuwa wamekufunga.
14. Umeonyesha udhaifu mkubwa sana ambao CCM wataendelea kuutumia kuwapumbaza na kuwahadaa kwa siku, miaka, na miongo ijayo.
15. CCM wataendelea kuwapiga, kuwanyanyasa, kuwatendea vibaya, na mwisho wa siku watawaalikeni ikulu muende kupiga picha, kunywa juisi, na kula biskuti halafu mnasahau kabisa mabaya yote mliyotendewa. Mko wepesi mno wa kusamehe na kusahau.
Sioni kabisa CCM ikitoka madarakani kwa upinzani huu tulionao. Hata kwenye katiba mpya, kama ikija kupatikana, mtahadaiwa na kurubuniwa tu. Na mtalia weee hadi mtachoka na kunyamaza.
16. Wapinzani wa Tanzania wakiongozwa na CHADEMA, hamna kabisa uti wa mgongo.
Just a bunch of weak weasels.
Immediate after Mbowe's release SSH played smart. Unleashed the beast out of the ChairmanA
A smart politician on which terms. By releasing Mbowe after public outcry?. It is the pressure that led her to invoke the release. If she was smart she could have let the case to proceed and influence the conviction of Mbowe.
Hapa Mbowe na Chadema ndio washindi maana Lissu anarudi nchini na mbowe ndio ametoka Rumande, hapatatosha.
Huh 🤔???Can I ask you,what the hell power or authority to decide that the case was a bogus one?
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Umekosea sana aisee. Yeye ndo alipaswa aje kwako kukuona
Pole ndugu, ila sijui ni kwa nini unatamani kasi hiyo.Hata kama inaenda mrama, wapinzani are not capitalizing on it!
Very disappointing.
Kete gani/zipi?Hwataki kuamini kama Samia keshawazidi kete! Ila wanajaribu kujifariji kwamba Magufuli ndio alimkamata Mbowe!
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Please, no research no right to speak. Wewe unaongea bila utafiti.
1. Kwanza, Mh Mbowe alipotoka gerezani jana alielekea nyumbani kwake, na kusema kwamba Jana asingeweza kuongea na waandishi wa habari bali anapanga kuonana na Viongozi wake wa CHADEMA Kwanza halafu baadae ndio ataongea na wananchi. Kuna kosa gani Hapo?. Mbowe ana leadership qualities. Amejipa muda kwanza kabla ya kuongea na umma, maana angeweza kutamka neno kwa hisia likaleta chuki na tafakuri.
2. Pili, Rais Samiah baada ya kikao Cha Jana na Mh Mbowe, alisema kwa kauli yake , kuwa yeye binafsi ndio alimuomba Mh Mbowe waonane Jana hiyo hiyo. Unadhani Ni kwanini aliamua iwe Jana na sio siku nyingine?. Rais Samiah ndio alikuwa wa kwanzan kuiambia dunia kuwa Mbowe ni Gaidi ilibidi achukue initiative kuonana naye kiutu uzima na kufanya mapatano ingali mapema.
3. Tatu, Fahamu ya kwamba Mh Mbowe kapoteza vingi Sana. Kabomolewa bilcanas, kuharibiwa shamba lake, kufungiwa gazeti lake la Tanzania daima, kufukuzwa kwenye Jengo la NHC ambalo kiasili ni Mali yao, kutajwa kwenye madawa ya kulevya na makonda, kuvamia na wasiojulikana na kusingiziwa alikuwa amelewa , kufungiwa akaunti yake na pesa zake kuchukuliwa na mwisho kuibiwa ubunge wake ambao hata museveni alithibitisha siku ya kuapishwa Magufuri.
Hivyo, wakati wengine wakikimbia Mbowe alisimama imara na Leo watesi wake wanashangaa, tumefanyia ubaya wote lakini hajalipa kisasi wala kuonesha chuki.
4. Nne Fahamu ya kwamba sio kila mtu ana roho ya kulipiza kisasi na kutaka kuonekana shujaa. Kuna watu siku wakiondoka duniani ndio watu wataujua unuhimu wao. Mmoja wapo Ni Mbowe kwamba yote aliyofanyiwa lakini hajalipiza kisasi maana hiyo siyo hulka yake.
5. Tano, hivi nikuulize Kati ya muoneaji na muonewa nani mbaya?. Yani mtu anayeonea wenzake na yule anayeonewa tunamlaumu nani?. Yani wewe unamlaumu Mbowe kwa kuonewa baadala umlaumu aliyemuonea kwa nini anaonea roho isiyo na hatia.
6. Sita, CHADEMA na Mh Mbowe hawaitaji kupambana na waoneaji au kulipiza kisasi maana Karma inafanya kazi yake. karma imelipia karibia wote waliomuonea Mbowe, kuanzia mwendazake, makonda, Sabaya, Byakanwa na Spika Ndugai. Ndio maana mama kwa kulijua Hilo akaona akutane na Mh Mbowe wayamalize.
Mwisho, hii dunia tunapita tuishi kwa upendo maana kila mtu ataiacha dunia na huko anapokwenda atawajibika kwa maonevu aliyewatendea wanadamu wenzake walioumbwa na Mungu. Tuache chuki za kisiasa hazitatufikisha popote tutambuane kama watanzania na sio kwa vyama vyetu.
Ndio maana nikasema Yaani wanakutengenezea kosa harafu wanakusamehe na wewe unawasifia harafu wanakutumiaNikusahihishe, Mh Mbowe hajasamehewa maana hakua na hatia , Bali amefutiwa mashtaka. Kumbuka alikuwa anajiandaa kwenda kujitetea mahakamani ndio nolle prosequi ikaletwa.
Wewe ndio utofautishe serikali na CCM .
CHADEMA na CCM Ni vitu viwili tofauti. Ila Serikalii kupitia DPP ndio walikuwa na maslahi na kesi, na wao ndio wameifuta Kesi. Kesi imefutwa na nolle prosequi ambayo haina masharti.
Kama nolle prosequi haina Masharti basi masharti unayo wewe. Katafute kesi ya Zitto kabwe ya uchochezi ambapo alipewa masharti ya kuachiwa huru kwamba asifanye uchochezi wa kisiasa kwa mwaka mmoja. Kafuatie kesi ya sheikh Ponda ya kwanza kabisa alipewa masharti akaachiwa nk.
Lakini niambie sharti moja alilopewa Mbowe ili kuachiwa.
File lilifunguliwa July 18, 2020 na Swila,Kingai DCI et al kipindi Cha JPM.Kesi ilifunguliwa July 2020 na Mbowe akakamatwa July 2021???
Only in Tanzania where you’ll find this kind of fuckery [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mandela alifungwa miaka 27 na alipotoka gerezani akatangaza amani kwa watesi wake. Ilimpa umaarufu na kule kusamehe kukawafanya wazungu waliomfunga waonekane wajinga. Ni imani ya kiwango cha juu sana waliyonayo ni wachache sana.It’s now not even debatable that CCM know how to play the game of politics better than anybody.
They have an indescribable svengali type of hold on the rest of the opposition parties that renders them [the opposition] functionally ineffective.
For the life of me, somebody explain it to me. Make it make sense;
1. Unakamatwa na kufungwa bila kosa/ makosa.
2. Unafunguliwa mashitaka ya uongo/ kizushi ambayo hayana dhamana [ili usote mahabusu].
3. Tunaambiwa eti wewe ni gaidi na ushahidi upo unaothibitisha hilo [licha ya kwamba mtu yeyote mwenye akili anajua wewe siyo gaidi].
4. Kesi inaendeshwa kwa mwendo wa konokono kwa makusudi tu ili uendelee kutaabika jela.
5. Kwa vile mashitaka ni ya uongo/ kizushi, kesi inadhihirika kuwa kituko baada ya mashahidi kuanza kutoa ushuhuda wao.
6. Baada ya miezi takriban minane [8], mwendesha mashitaka ananena kuwa hana nia ya kuendelea na kesi.
7. Sijui hiyo nia ya kutotaka kuendelea na kesi imemjia lini? Labda alioteshwa usiku 🤣.
8. Mashitaka yanatupiliwa mbali. Unaachiwa huru baada ya kusota lupango kwa muda wote huo.
9. Wamekupotezea muda kwa mambo ya kizushi. Wamekutesa. Wamekunyanyasa. Wamekuvunjia heshima. Wamekuzushia mambo ya ajabu.
10. Licha ya yote hayo ambayo ni dhahiri shahiri waliyafanya kwa makusudi tu ili unyanyasike, hutopewa fidia yoyote ile.
11. Ulichoambulia ni kualikwa ikulu kwenda kukutana na mtu aliyesababisha madhila yote hayo dhidi yako. Kwenye picha nilizoziona, sikuona bilauri za juisi kama tulivyowahi kuziona hapo zamani mlipoitwa ikulu baada ya kupigwa virungu na kumwagiwa maji ya upupu. Safari hata juisi ya Sayona hukupewa! Au ulikunywa?
12. Unatoka jela, badala ya kukutana na kuongea na watu waliosimama na wewe muda wote huo ambao uliporwa uhuru wako, wewe unaenda moja kwa moja kuonana na kucheka cheka na mtu aliyekusababishia madhila yote hayo uliyoyapitia katika hizo siku 200 na kitu.
13. Umekosea sana aisee. Yeye ndo alipaswa aje kwako kukuona. Yeye na serikali yake ndo wanapaswa kukuomba radhi kwa usumbufu waliokuletea wewe pamoja na familia yako. Wao ndo wanapaswa kukufidia vyote ulivyopoteza pindi walipokuwa wamekufunga.
14. Umeonyesha udhaifu mkubwa sana ambao CCM wataendelea kuutumia kuwapumbaza na kuwahadaa kwa siku, miaka, na miongo ijayo.
15. CCM wataendelea kuwapiga, kuwanyanyasa, kuwatendea vibaya, na mwisho wa siku watawaalikeni ikulu muende kupiga picha, kunywa juisi, na kula biskuti halafu mnasahau kabisa mabaya yote mliyotendewa. Mko wepesi mno wa kusamehe na kusahau.
Sioni kabisa CCM ikitoka madarakani kwa upinzani huu tulionao. Hata kwenye katiba mpya, kama ikija kupatikana, mtahadaiwa na kurubuniwa tu. Na mtalia weee hadi mtachoka na kunyamaza.
16. Wapinzani wa Tanzania wakiongozwa na CHADEMA, hamna kabisa uti wa mgongo.
Just a bunch of weak weasels.
Kwa hiyo Samia alikuwa anakubaliana na Magufuli katika kumkamata Mbowe, siyo?File lilifunguliwa July 18, 2020 na Swila,Kingai DCI et al kipindi Cha JPM.
Walinzi wa Mbowe walikamatwa na kubambikiwa madawa ya kulevya, na silaha na sare za JWTZ mwezi August, 2020 kipindi Cha JPM.
Walinzi wa Mbowe waliandikishwa maelezo ya uongo kuwa wamekiri na kumtaja Mbowe kuhusika na ugaidi mwezi August 2020 kipindi Cha JPM.
Mashahidi karibia wote waliandikishwa maelezo mwaka 2020 kipindi Cha JPM.
Lengo likawa kumkamata Mbowe na kumfungulia mashtaka soon baada ya uchaguzi, na haikuwa Mbowe tu ilikuwa Bali ilikuwa waunganishwe Tundu lissu na Godbless Lema.
Taarifa zikavuja, Tundu lissu alivyosikia Kuna kesi pending alikimbilia ubalozi wa Ujerumani then akakimbia nchi.
Lema aliposikia polisi wanamsaka akakimbia akavuka mpaka wa Kenya then akaenda Canada.
Na Mbowe akakimbia nchi akaenda zake Dubai, ndiyo kipindi alichokaa sana nje ya nchi akarudi ashadungwa chanjo ya Corona na ndiyo maana hata wasaidizi wa Samia walimwambia Samia kuwa Mbowe alikimbia nchi ni kweli alikimbia, amerudi JPM akiwa hoi.
Sasa katika mazingira haya huwezi kubisha kuwa aliyesuka hii kesi ni Magufuli. Samia ameingia Ikulu katika mazingira ambayo hakuwa hata amejianda hivyo alikuwa anahitaji muda ku cope na vitu vingi. Huku chini wasaidizi wake wakiwa tayari Wana ushahidi waliopika Kwa maelekezo ya Mwendazake. Amekuja kushtuka kesi ishafunguliwa na wakamdanganya kuwa wanao ushahidi wa kutosha.
Huenda wanafahamiana labda..Unatoka jela, badala ya kukutana na kuongea na watu waliosimama na wewe muda wote huo ambao uliporwa uhuru wako, wewe unaenda moja kwa moja kuonana na kucheka cheka na mtu aliyekusababishia madhila yote hayo uliyoyapitia katika hizo siku 200 na kitu.
IGP , DCI na wateule wengine hawaripoti Kwa makamu wa Rais wanaripoti Kwa Rais, makamu wa Rais anafanya majukumu Yale anayopewa tu na Rais, na siyo lazima ashirikishwe Kila kitu.Kwa hiyo Samia alikuwa anakubaliana na Magufuli katika kumkamata Mbowe, siyo?
It’s now not even debatable that CCM know how to play the game of politics better than anybody.
They have an indescribable svengali type of hold on the rest of the opposition parties that renders them [the opposition] functionally ineffective.
For the life of me, somebody explain it to me. Make it make sense;
1. Unakamatwa na kufungwa bila kosa/ makosa.
2. Unafunguliwa mashitaka ya uongo/ kizushi ambayo hayana dhamana [ili usote mahabusu].
3. Tunaambiwa eti wewe ni gaidi na ushahidi upo unaothibitisha hilo [licha ya kwamba mtu yeyote mwenye akili anajua wewe siyo gaidi].
4. Kesi inaendeshwa kwa mwendo wa konokono kwa makusudi tu ili uendelee kutaabika jela.
5. Kwa vile mashitaka ni ya uongo/ kizushi, kesi inadhihirika kuwa kituko baada ya mashahidi kuanza kutoa ushuhuda wao.
6. Baada ya miezi takriban minane [8], mwendesha mashitaka ananena kuwa hana nia ya kuendelea na kesi.
7. Sijui hiyo nia ya kutotaka kuendelea na kesi imemjia lini? Labda alioteshwa usiku [emoji1787].
8. Mashitaka yanatupiliwa mbali. Unaachiwa huru baada ya kusota lupango kwa muda wote huo.
9. Wamekupotezea muda kwa mambo ya kizushi. Wamekutesa. Wamekunyanyasa. Wamekuvunjia heshima. Wamekuzushia mambo ya ajabu.
10. Licha ya yote hayo ambayo ni dhahiri shahiri waliyafanya kwa makusudi tu ili unyanyasike, hutopewa fidia yoyote ile.
11. Ulichoambulia ni kualikwa ikulu kwenda kukutana na mtu aliyesababisha madhila yote hayo dhidi yako. Kwenye picha nilizoziona, sikuona bilauri za juisi kama tulivyowahi kuziona hapo zamani mlipoitwa ikulu baada ya kupigwa virungu na kumwagiwa maji ya upupu. Safari hata juisi ya Sayona hukupewa! Au ulikunywa?
12. Unatoka jela, badala ya kukutana na kuongea na watu waliosimama na wewe muda wote huo ambao uliporwa uhuru wako, wewe unaenda moja kwa moja kuonana na kucheka cheka na mtu aliyekusababishia madhila yote hayo uliyoyapitia katika hizo siku 200 na kitu.
13. Umekosea sana aisee. Yeye ndo alipaswa aje kwako kukuona. Yeye na serikali yake ndo wanapaswa kukuomba radhi kwa usumbufu waliokuletea wewe pamoja na familia yako. Wao ndo wanapaswa kukufidia vyote ulivyopoteza pindi walipokuwa wamekufunga.
14. Umeonyesha udhaifu mkubwa sana ambao CCM wataendelea kuutumia kuwapumbaza na kuwahadaa kwa siku, miaka, na miongo ijayo.
15. CCM wataendelea kuwapiga, kuwanyanyasa, kuwatendea vibaya, na mwisho wa siku watawaalikeni ikulu muende kupiga picha, kunywa juisi, na kula biskuti halafu mnasahau kabisa mabaya yote mliyotendewa. Mko wepesi mno wa kusamehe na kusahau.
Sioni kabisa CCM ikitoka madarakani kwa upinzani huu tulionao. Hata kwenye katiba mpya, kama ikija kupatikana, mtahadaiwa na kurubuniwa tu. Na mtalia weee hadi mtachoka na kunyamaza.
16. Wapinzani wa Tanzania wakiongozwa na CHADEMA, hamna kabisa uti wa mgongo.
Just a bunch of weak weasels.
You can put on as much lipstick on a pig and it will still be a pig!IGP , DCI na wateule wengine hawaripoti Kwa makamu wa Rais wanaripoti Kwa Rais, makamu wa Rais anafanya majukumu Yale anayopewa tu na Rais, na siyo lazima ashirikishwe Kila kitu.
Hivyo inawezekana kabisa kuwa alikuwa hata hajui kinachoendelea given the fact kwamba JPM alipenda Mama samia ashughulike na baadhi ya vitu tu kama kumwakilisha kwenye vikao na mikutano mbalimbali ya kimataifa, Magufuli ndiyo chanzo Cha addiction ya Samia ya kusafiri nje[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba amekamatwa kipindi Samia ni Rais hakuna anayebisha, lakini angekamatwa kama kusingekuwa na huo ushahidi uliopikwa Kwa maelekezo ya mwendazake?You can put on as much lipstick on a pig and it will still be a pig!
Mbowe kakamatwa na kufungwa kipindi Samia ni Rais.
Huo ndo ukweli.
Katika mambo yote 16, kosa la Mbowe ni moja tu?! Alafu makosa ya ccm 15, unawasifu! Huna utu wala ubinadamu, unafanana na shujaa wako mwendakuzimu!It’s now not even debatable that CCM know how to play the game of politics better than anybody.
They have an indescribable svengali type of hold on the rest of the opposition parties that renders them [the opposition] functionally ineffective.
For the life of me, somebody explain it to me. Make it make sense;
1. Unakamatwa na kufungwa bila kosa/ makosa.
2. Unafunguliwa mashitaka ya uongo/ kizushi ambayo hayana dhamana [ili usote mahabusu].
3. Tunaambiwa eti wewe ni gaidi na ushahidi upo unaothibitisha hilo [licha ya kwamba mtu yeyote mwenye akili anajua wewe siyo gaidi].
4. Kesi inaendeshwa kwa mwendo wa konokono kwa makusudi tu ili uendelee kutaabika jela.
5. Kwa vile mashitaka ni ya uongo/ kizushi, kesi inadhihirika kuwa kituko baada ya mashahidi kuanza kutoa ushuhuda wao.
6. Baada ya miezi takriban minane [8], mwendesha mashitaka ananena kuwa hana nia ya kuendelea na kesi.
7. Sijui hiyo nia ya kutotaka kuendelea na kesi imemjia lini? Labda alioteshwa usiku 🤣.
8. Mashitaka yanatupiliwa mbali. Unaachiwa huru baada ya kusota lupango kwa muda wote huo.
9. Wamekupotezea muda kwa mambo ya kizushi. Wamekutesa. Wamekunyanyasa. Wamekuvunjia heshima. Wamekuzushia mambo ya ajabu.
10. Licha ya yote hayo ambayo ni dhahiri shahiri waliyafanya kwa makusudi tu ili unyanyasike, hutopewa fidia yoyote ile.
11. Ulichoambulia ni kualikwa ikulu kwenda kukutana na mtu aliyesababisha madhila yote hayo dhidi yako. Kwenye picha nilizoziona, sikuona bilauri za juisi kama tulivyowahi kuziona hapo zamani mlipoitwa ikulu baada ya kupigwa virungu na kumwagiwa maji ya upupu. Safari hata juisi ya Sayona hukupewa! Au ulikunywa?
12. Unatoka jela, badala ya kukutana na kuongea na watu waliosimama na wewe muda wote huo ambao uliporwa uhuru wako, wewe unaenda moja kwa moja kuonana na kucheka cheka na mtu aliyekusababishia madhila yote hayo uliyoyapitia katika hizo siku 200 na kitu.
13. Umekosea sana aisee. Yeye ndo alipaswa aje kwako kukuona. Yeye na serikali yake ndo wanapaswa kukuomba radhi kwa usumbufu waliokuletea wewe pamoja na familia yako. Wao ndo wanapaswa kukufidia vyote ulivyopoteza pindi walipokuwa wamekufunga.
14. Umeonyesha udhaifu mkubwa sana ambao CCM wataendelea kuutumia kuwapumbaza na kuwahadaa kwa siku, miaka, na miongo ijayo.
15. CCM wataendelea kuwapiga, kuwanyanyasa, kuwatendea vibaya, na mwisho wa siku watawaalikeni ikulu muende kupiga picha, kunywa juisi, na kula biskuti halafu mnasahau kabisa mabaya yote mliyotendewa. Mko wepesi mno wa kusamehe na kusahau.
Sioni kabisa CCM ikitoka madarakani kwa upinzani huu tulionao. Hata kwenye katiba mpya, kama ikija kupatikana, mtahadaiwa na kurubuniwa tu. Na mtalia weee hadi mtachoka na kunyamaza.
16. Wapinzani wa Tanzania wakiongozwa na CHADEMA, hamna kabisa uti wa mgongo.
Just a bunch of weak weasels.
Na amekuwa akimsifu JPM kipindi chote ambapo alikuwa akikandamiza demokrasia kipindi Cha JPM Mbowe Kabomolewa bilcanas, kuharibiwa shamba lake, kufungiwa gazeti lake la Tanzania daima, kufukuzwa kwenye Jengo la NHC ambalo kiasili ni Mali yao, kutajwa kwenye madawa ya kulevya na makonda, kuvamia na wasiojulikana na kusingiziwa alikuwa amelewa , kufungiwa akaunti yake na pesa zake kuchukuliwa.Katika mambo yote 16, kosa la Mbowe ni moja tu?! Alafu makosa ya ccm 15, unaosifu! Huna utu wala ubinadamu, unafanana na shujaa wako mwendakuzimu!