Ukweli sijaielewa mkuu ccm wanapanga mgomo!?
Wanamgomea nani!?
wanamgomea nani??? si jimbo la CHADEMA sasa wanataka kuwavurugia......
Alama ipi Ngalikihinja unayoitaka.Mi sijakuelewa.
Siwezi kuimani barua isiyo na alama yoyote yenye kunisadikisha kuwa hawa wenye barua hii ni CCM. Hata kama hatuipendi, tusiiisingizie. Tutoa data zenye ukweli na uhakika si kama hili. Linaweza likawa la kweli lakini sisi tulio mbali na eneo la tukio tunahitaji ushahidi wa kutosha. Barua uliyoiambatanisha hata mwingimne yeyote anaweza akaiandika
Chama cha Mabwepande kimezidi kuumbuka safari hii ni kwenye mgomo wa wasafirishaji mkoani Kilimanjaro. Jisomee mwenyewe
Hii ni zaidi ya kufulia, inaonyesha kwamba utawala wa sheria haupo kabisa. Yaani anawaamrisha watu wafanye fujo halafu anawaahidi kwamba hawatachukuliwa hatua hata kama maafa yatatokea!!!!!!!!!HUYO KATIBU ALIYEANDIKA BARUA HIYO APIMWE AKILI.
Aisee haya ni mambo ya wana Mabwepande aka CCM magamba ambao mishipa ya aibu ilishakufa ganzi sasa wanamove kama roboti
Mi sijakuelewa.
Siwezi kuimani barua isiyo na alama yoyote yenye kunisadikisha kuwa hawa wenye barua hii ni CCM. Hata kama hatuipendi, tusiiisingizie. Tutoa data zenye ukweli na uhakika si kama hili. Linaweza likawa la kweli lakini sisi tulio mbali na eneo la tukio tunahitaji ushahidi wa kutosha. Barua uliyoiambatanisha hata mwingimne yeyote anaweza akaiandika
Chama cha Mabwepande kimezidi kuumbuka safari hii ni kwenye mgomo wa wasafirishaji mkoani Kilimanjaro. Jisomee mwenyewe
Uko dunia ipi mkuu, CCM ni zaidi ya chama cha majambazi...
Hawa mabwepande wameishwa kabisa mbinu za kisiasa.
[/QUOTE
Kumbe kweli wahuni wako CCM, from the Chairman mpaka kwenye mashina. The killers.
Ili utendewe haki mtoa mada, unatakiwa upigwe ban la maisha kwa uongo huu
Kusema kweli sasa jf imepoteza mwelekeo.maana halisi ya gt imepotea .yaliyobaki ni majungu na upotoshaji wasomaji sina budi sasa kuachana nayo:spit::spit:
Mwenzako ameweka ushaidi wake kudhibitisha aliyoyasema na wewe proof him wrong kwa kuweka udhibitisho.laasivyo mabwepande.com