CCM yazidi kuumbuka

Mzee unaonekana imani yako ndogo kabisa. Waache wahusika ndo wakanushe kwamba siyo ya kwao. Usinunue kesi isiyo yako bure baba.
JF ndiyo MZEE wapo wachache sana, nawe mmoja wao. Si kila kisemwacho nikiunge mkono kwa vile tu anayesemwa simpendi, NOOOOOOOO.............
Hebu fikiria, kuna mtu anashindwa kuiandika hiyo barua? AU kuna mtu anashindwa kuweka hizo nembo za bendera ya chama? Au unadhani nani anashindwa kuweka sahihi yoyote kwenye huyo karatasi na kutangaza kuwa ni huyo mwenye jina hapo kwenye karatasi? Ni kinaendelea hadi sasa kinachoonyesha kuwa hiyo barua ni ya CCM?
 
Back
Top Bottom