Mikael Aweda
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 3,129
- 4,285
My dear English learner,I'll be the last person to believe that:
- The silly ccm works on Sunday ( refer to the letter written/sent on 8/07/2012)!
- The letter reached all concerned the same day!
- The time of 24hours sufficed preparations for the strike!
- Money/allowance was to be distributed at a know place!
What I can believe immediately are:
- ccm to use Green guards
- ccm to destroy civilian properties
- ccm to promise defense to all criminals
Did you ever hear that, some EPA accounts were opened on the 1st of May (public holiday 2005?) and some transactions were done on saturday and Sunday under the same govnt? Any comment my dear friend!
Uko dunia ipi mkuu, CCM ni zaidi ya chama cha majambazi...sisiemu kimekuwa kama chama cha majambazi yani wao baada ya kuumiza vichwa watu waendelee nchi iendelee wako busy kuteka kupiga raia kupanga mipango ya kuharibu kuvuruga amani wana nini hawa magamba kama nchi imewashinda si watangaze vita vya wazi na wapinzani. waone support ya uma itakuwaje.
Chama cha Mabwepande kimezidi kuumbuka safari hii ni kwenye mgomo wa wasafirishaji mkoani Kilimanjaro. Jisomee mwenyewe
Uko dunia ipi mkuu, CCM ni zaidi ya chama cha majambazi...
wanamgomea nani??? si jimbo la CHADEMA sasa wanataka kuwavurugia......Ukweli sijaielewa mkuu ccm wanapanga mgomo!?
Wanamgomea nani!?
Mimi ninalazimika kuamini, vyenginevyo mleta mada atakuwa ametenda kosa la jinai kwa kughushi sahihi ya Katibu Wilaya.Mi sijakuelewa.
Siwezi kuimani barua isiyo na alama yoyote yenye kunisadikisha kuwa hawa wenye barua hii ni CCM. Hata kama hatuipendi, tusiiisingizie. Tutoa data zenye ukweli na uhakika si kama hili. Linaweza likawa la kweli lakini sisi tulio mbali na eneo la tukio tunahitaji ushahidi wa kutosha. Barua uliyoiambatanisha hata mwingimne yeyote anaweza akaiandika
Ili utendewe haki mtoa mada, unatakiwa upigwe ban la maisha kwa uongo huu
Kweli hawa "Mabwepande" wamejisahau sana