CCM yawataka Maaskofu wavue majoho...

CCM yawataka Maaskofu wavue majoho...

Huyu Mary Chatanda aliyesababisha mauaji ya watu sita arusha na majeruhi 11 bado anatonesha kidonda ambacho bado kibichi. Kitendo cha kukosa aibu na kuja hadharani kwa kuanza na kuwakashifu viongozi wetu wa dini na kutamba kwamba uchaguzi wa Meya hautabatilishwa uko pale pale na eti yeye ni diwani halali wa Arusha ni matusi ya nguoni. huku ni kukosa adabu na tunahoji huo ujasiri anautoa wapi wakati bado sisi tunaomboleza vifo vya wenzetu na mazishi bado hayajafanyika. Kukosa hekima ni ugonjwa mbaya kwani huyu mama hana chembe ya hekima wala adabu wakati huu ufumbuzi wa tatizo unatafututwa. Wakati tayari serikali imekubali kujadiliana kutatua tatizo yeye ana complicate tatizo. Huyu mama anatakiwa ashughulikiwe akome ili ajue kwamba watu wana uchungu na arudi kwao tanga kwani vurugu ikitokea ni rahisi kwenda kwao tanga na kuacha watu wa arusha wakiteseka. ametoa wapi ujasiri wa kuongea wakati mwenyekiti wa CCM mkoa aliona vema kukaa kimya. nafikiri bado anahitaji kushikishwa adabu kwa gharama yoyote. Akamuuzlize Dc Elizabeth Minde aliyebomoa vibanda vya wafanya biashara kilichotaka kumkuta. Ilibidi Minde awekewe body guard la sivyo walikuwa wammalize fasta na ilibidi aombe kuhama Arusha kabisa kwa usalama wake. Huyu mama yeye ni nani asifikiri watu ni wajinga na kwamba hawako kusikiliza upuuzi bali kumsikiliza mtu anayetoa solution na siyo kushabikia mauaji.
 
Hivi mume wake ndio nani hapo kwenye safu ya juu ya CCM kiasi cha kutuletea maafa hivi huyu mama, kweli anajisikiaje hivi sasa na damu hizi kwenye blausi yake?
 
Mh Sira ameshawakosoa na akasema anaunga mkono makanisa kukosoa serikali pale inapokosea au kwenda kinyume na matakwa ya wananchi.Hawa viongozi wa CCM hasa mama Chitanada nadhani hana utu anajali maslahi yake binafsi bora akastaafu mapema kabla ya damu zilizomwaagika kumwandama manake damu ya mtu haipotei bure
 
may be kuna mkubwa anapiga shipa ndo maana anakuwa over confindence
 
Duuuuh mama kachemka,,asije akatengwa kama kule sumbawanga oooh siasa za kupita tu hizi
 
mary represents ccm, and for her to respond like this without ccm denouncing means ndio msimamo na tabia ya chama....
Inasikitisha sana kuona mtu aliyechangia mauaji kukosa hata remote sympathy

Nategemea wachache wenye busara ndani ya ccm wanalifanyia kazi hili na si makamba kwani he is useless

Pia namuombea mary apate karma justice
 
Mbaya zaidi hakuna mahali alipotoa pole au kusikitika kwa waliopoteza maisha kwani yeye kwa kiasi kikubwa amechangia mauaji. Huyu hana mume kwani asingekimbia kwao Tanga na kuja kuvuruga huku Arusha . inaonyesha kule kwao amesha chefua
 
hii ndo shida ya siasa za c***i, watu wanakosa hata busara kwa kuwa tu wana waume zao huko ndani ya ccm
 
Mimi nafikiri si yeye tu bali hata makanisa ya arusha kusema hawamtambui meya wa arusha ni 'ujinga' maana kiongozi wa kisiasa hatakiwi kutambuliwa na viongozi wa dini fulani. hii inachochea vuguvugu la kidini maana waislam nao wametoa tamko kulaani viongozi wa chadema kwa kusababisha vurugu mkoani kwao. sasa tunaenda wapi?

maandamano yalikuwa na maana na umuhimu gani, wakati lengo lilikuwa kufanya mkutano ili kutoa dukuduku la uchaguzi meya na nini chadema watafanya kupata meya halali kwa mtazamo wao
 
Hivi mume wake ndio nani hapo kwenye safu ya juu ya CCM kiasi cha kutuletea maafa hivi huyu mama, kweli anajisikiaje hivi sasa na damu hizi kwenye blausi yake?

Makamba ndiye aliyemleta Arusha, nadhani ndiyo anampiga shipa. Haiwezekani awe na kiburi namna hii.

Kitendo chake cha kuropoka kama Mumewe Makamba kinaweza mletea Laana kwa kuwakashifu viongozi wa dini ambao wameelezea hisia zao kuhusu mauaji yaliyosababishwa na ccm. Ikumbukwe kuwa waliouawa ni moja ya wanakondoo wa bwana ambao viongozi wale wa dini ndiyo wachungaji wao.
 
tatizo la CCM elimu hawana so huyu mama ameonyesha chama chake kilivyo!aibu yao CCM
 
mary represents ccm, and for her to respond like this without ccm denouncing means ndio msimamo na tabia ya chama....
Inasikitisha sana kuona mtu aliyechangia mauaji kukosa hata remote sympathy

Nategemea wachache wenye busara ndani ya ccm wanalifanyia kazi hili na si makamba kwani he is useless

Pia namuombea mary apate karma justice

Ana laana kama ya kaini, chitanda katenda dhambi kubwa ya uongo kwa kudanganya kuwa yeye ni wa arusha, akafanya dhambi nyingine ya kusababisha mauaji na akaishia kutenda dhambi ya kuwatukana hata maaskofu wake.

kama sio laana ni nini???
 
Huyu Mary Chatanda aliyesababisha mauaji ya watu sita arusha na majeruhi 11 bado anatonesha kidonda ambacho bado kibichi. Kitendo cha kukosa aibu na kuja hadharani kwa kuanza na kuwakashifu viongozi wetu wa dini na kutamba kwamba uchaguzi wa Meya hautabatilishwa uko pale pale na eti yeye ni diwani halali wa Arusha ni matusi ya nguoni. huku ni kukosa adabu na tunahoji huo ujasiri anautoa wapi wakati bado sisi tunaomboleza vifo vya wenzetu na mazishi bado hayajafanyika. Kukosa hekima ni ugonjwa mbaya kwani huyu mama hana chembe ya hekima wala adabu wakati huu ufumbuzi wa tatizo unatafututwa. Wakati tayari serikali imekubali kujadiliana kutatua tatizo yeye ana complicate tatizo. Huyu mama anatakiwa ashughulikiwe akome ili ajue kwamba watu wana uchungu na arudi kwao tanga kwani vurugu ikitokea ni rahisi kwenda kwao tanga na kuacha watu wa arusha wakiteseka. ametoa wapi ujasiri wa kuongea wakati mwenyekiti wa CCM mkoa aliona vema kukaa kimya. nafikiri bado anahitaji kushikishwa adabu kwa gharama yoyote. Akamuuzlize Dc Elizabeth Minde aliyebomoa vibanda vya wafanya biashara kilichotaka kumkuta. Ilibidi Minde awekewe body guard la sivyo walikuwa wammalize fasta na ilibidi aombe kuhama Arusha kabisa kwa usalama wake. Huyu mama yeye ni nani asifikiri watu ni wajinga na kwamba hawako kusikiliza upuuzi bali kumsikiliza mtu anayetoa solution na siyo kushabikia mauaji.

Kwani yeye ndio ameitisha Maandamano si Chadema? Mnamchukia kwasababu amewaambia ukweli maaskofu waache vimbelembele vyao sasa mnaanza kumchimba no wonder some people question whether we are really Great Thinker!!!!
 
Utalaaniwa!! Acha kutukana watumishi wanaotetea kondoo wa bwana!
 
Arachuga . Nyie subirini mtaona huyu mama atakachofanyiwa .
 
Kwani yeye ndio ameitisha Maandamano si Chadema? Mnamchukia kwasababu amewaambia ukweli maaskofu waache vimbelembele vyao sasa mnaanza kumchimba no wonder some people question whether we are really Great Thinker!!!!

Wapo wengi akina mama Mary Chipungahelo au Mama Chips, yule wa Zenji alieambiwa sio raia pamoja na akina Ulimwengu wote ni chakula cha wazee bila kumsahau mkubwa wao SS yaani sofia..
 
Mdondoaji elewa Kama ni ugonjwa cause yake imechangiwa na Mary Chatanda. Hii ndiyo source ya ugomvi uliopelekea CHADEMA kupanga maandamano yaliyovurugwa na polisi. Kama mary Chatanda asingekubali kutumika kimabavu kupiga kura batili basi uchaguzi ungekuwa wa halali na yasingetokea yaliyotokea. jaribu kutumia ubongo basi ndugu yangu usipende ushabiki kwani usipende kulazimisha kushiriki dhambi inayoepukika kwa kushabikia wauaji
 
huyu anafaa ashughulikiwe hata sasa mwenye data za anakoishi na anapopenda kukaa aseme tumwonyeshe kuwa hatutanii na tuna uchungu mkubwa wa kufiwa na ndugu zetu
 
Sasa maaskofu wamekataa kumtambua mayor mkristo tena mzee wa kanisa, naibu mayor mkristo halafu kuna watu wananyanyua midomo udini udini! Sasa maaskofu wana udini gani? Hivi kufikiria imekuja kuwa tatizo katika hii nchi au ni nini?
 
Back
Top Bottom