CCM yavibomoa CHADEMA, CUF na TLP -

CCM katika Halmashauri ya mji mdogo wa tunduma mkoani mbeya ,kimevuna wanachama 105 kutoka vyama vya upinzani vya CHADEMA,CUF na TLP, Akiwemo aliyekuwa katibu wa Chadema kata ya tunduma.
Katibu wa CCM Tunduma alieleza kuwa hatua hiyo ni ushindi wa CCM kwani eneo hilo ni ngome ya chadema.

Diwani wa kata hiyo ni wa CDM ambapo inaelezwa kuwa kumekuwa na uhasama mkubwa wa kisiasa kati ya CDM na CCM hadi kufikia hatua ya kukwama kwa shughuli za maendeleo kwani wananchi wanasusia kushiriki shughuli mbalimbali ikiwemo misiba,michango ya maendeleo nk.

My take.huu ni wakati wa kujiongezea wanachama hivyo chama kisilale hata sekunde moja.

ccm msidhani mmepata.hawa vijana wa tunduma nawajua vema ni wafanyabiashara,na kwa sasa wanatafta pa kutokea baada ya biashara zao kuungua moto.so wanataka kujishkisha ccm ili wawaonee huruma kupata pesa.wao wanafikiri kuwa kwao upinzani ndo vyanzo vya mioto,mwanjelwa tndma sido na uhindini kwa kuwa ccm kuanzia kiongozi wao mkuu ni watu wa visasi
 
CCM katika Halmashauri ya mji mdogo wa tunduma mkoani mbeya ,kimevuna wanachama 105 kutoka vyama vya upinzani vya CHADEMA,CUF na TLP, Akiwemo aliyekuwa katibu wa Chadema kata ya tunduma.
Katibu wa CCM Tunduma alieleza kuwa hatua hiyo ni ushindi wa CCM kwani eneo hilo ni ngome ya chadema.

Diwani wa kata hiyo ni wa CDM ambapo inaelezwa kuwa kumekuwa na uhasama mkubwa wa kisiasa kati ya CDM na CCM hadi kufikia hatua ya kukwama kwa shughuli za maendeleo kwani wananchi wanasusia kushiriki shughuli mbalimbali ikiwemo misiba,michango ya maendeleo nk.

My take.huu ni wakati wa kujiongezea wanachama hivyo chama kisilale hata sekunde moja.

mkuu hao wamefata vibanda vya ccm hawajafata chama kunamugao wa ujenzi wa vibanda mashaliti niwanachama wa ccm ndowanatakiwa kujenga nakusibitishia hao nisumu au kansa kwa ccm watazidi kubomowa ccm angalizo kwa ccm wasibweteke bodo kazi nzito
 
Nadhani kama kuna mtu anajiunga na CCM kwasasa anapaswa kupelekwa wodi ya vichaa kuchekiwa akili....ni ngumu kuaimini ili,ufirahuni wa CCM bado unavutia watu kushiriki kazi zao.Wonderfull!!!

Yaani Mkuu inasikitisha sana utakuta mtu analia shida lakini bado anang'ang'ania hilo chama.
 
mtamiliki id nyingi lakini mtaishia kuumbuka.
wakati waja.

tamu chungu=malaria sugu
mamaporojo=faiza fox

hizi buku 2 za magamba zitawaua mwaka huu.
 
Hoja haina mashiko...Hapa hatutaki zilipendwa,hafu Kwani Rz cku hizi bado mmiliki wa Jambo leo ama..Magamba hawa
 
unabahati umesema chanzo! jambo leo nalo ni gazeti?? ala!
samahani mkuu,si unajua jamboleo ni gazeti dada la Tanzania Daima ndio mana habari zao ni za kuiremba cdm.kama ile ya juzi eti kikwete ameenda davos-sweden kwa ndege ya qatal.
 
Hoja haina mashiko...Hapa hatutaki zilipendwa,hafu Kwani Rz cku hizi bado mmiliki wa Jambo leo ama..Magamba hawa

bado sengerema,geita na ilemela............mtamkoma Ngeleja.utaona zilipendwa lakini inakuuma.
 
Wanachama 105! Kweli Magamba mmeishiwa,na mtaendelewa kuchukiwa na wananchi mpaka mkome na anaejiunga na CCM kwangu namuona kama taa.hira kweli uhuni mwingi umetamalaki ndani hiki nacho tukiite chama cha kujivunia? Pambaf
 
chadema vurugu tupu
sasa wagombania mirathi ya marehemu
mbowe kupindua kanuni na taratibu
mama zitto kabwe anyanyapaliwa
slaa sasa kuwa mwenyekiti wa chama.

source;Sauti huru la tarehe 18-24/01/2012
 
Back
Top Bottom