CCM yavibomoa CHADEMA, CUF na TLP -

CCM yavibomoa CHADEMA, CUF na TLP -

chadema vurugu tupu
sasa wagombania mirathi ya marehemu
mbowe kupindua kanuni na taratibu
mama zitto kabwe anyanyapaliwa
slaa sasa kuwa mwenyekiti wa chama.

source;Sauti huru la tarehe 18-24/01/2012

Ni kitu gani hicho?
 
CCM katika Halmashauri ya mji mdogo wa tunduma mkoani mbeya ,kimevuna wanachama 105 kutoka vyama vya upinzani vya CHADEMA,CUF na TLP, Akiwemo aliyekuwa katibu wa Chadema kata ya tunduma.
Katibu wa CCM Tunduma alieleza kuwa hatua hiyo ni ushindi wa CCM kwani eneo hilo ni ngome ya chadema.

Diwani wa kata hiyo ni wa CDM ambapo inaelezwa kuwa kumekuwa na uhasama mkubwa wa kisiasa kati ya CDM na CCM hadi kufikia hatua ya kukwama kwa shughuli za maendeleo kwani wananchi wanasusia kushiriki shughuli mbalimbali ikiwemo misiba,michango ya maendeleo nk.

My take.huu ni wakati wa kujiongezea wanachama hivyo chama kisilale hata sekunde moja.

Ipo siku pia CCM itavuna wanachama wengi tu katika mkoa wa Arusha.
 
We ni mwandishi wa jambo leo?
hapana,ni msomaji wa tanzania daima inayopotosha jamii hata ramani ya dunia hawaijui wala mashirika makubwa ya ndege duniani hawayajui af wanajifanya wanajua taarifa za nchi.tuandike ukweli ili msomaji achambue mbivu na mbichi.mimi ni cdm lakini ikikosea lazima niiambie ukweli ili ijirekebishe.
 
hapana,ni msomaji wa tanzania daima inayopotosha jamii hata ramani ya dunia hawaijui wala mashirika makubwa ya ndege duniani hawayajui af wanajifanya wanajua taarifa za nchi.tuandike ukweli ili msomaji achambue mbivu na mbichi.mimi ni cdm lakini ikikosea lazima niiambie ukweli ili ijirekebishe.

Ok nimeelewa!!! Una maanisha 3 x 3=6.
 
unataka kusema chadema wakishika madaraka/dola watafuta siasa za vyama vingi? itakuwa marufuku au yule ambaye atakuwa ccm atatiwa ndani?

kwa jinsi ilivyo chadema hata kama vyama vingi vipo hakuna mwendawazimu atakaye fikiria kuhusu ccm
 
Tamuchungu kama haujui kusoma hata picha hauoni? Kwenye vurugu ni ccm au chadema? Wagombea urais wa ccm mbona walishaanza kuchafuana?
 
kwani pamoja na kuwepo hospitali na kuongezeka kwa teknolojia ya tiba si bado magonjwa ya akili yapo?hivyo mimi sishangai kuona kuna wagonjwa wa akili/vichaa wamepatikana au wameonekana mtaani.
To be honest,kuhamia CCM,kushabikia CCM ni lazima mtu huyo anaugonjwa wa akili,anaumwa kunyonya wenzie,anaumwa ugonjwa wa rushwa,anaumwa ugonjwa wa kujilimbikizia mali na magonjwa yote haya yakishakuwa sugu atakuwa anaumwa gonjwa hatari la UFISADI.
Ila dawa inazidi kuchemka,ambayo ni CDM.time will tell,hata kina mama porojo nao watapona,kina FF nao watapona kina maralia sugu nao watapona na wengine wote ambao wanaumwa ugonjwa uliosababishwa na CCM tutawapatia dawa.
Pamoja tutashinda,viva Chadema
 
unataka kusema chadema wakishika madaraka/dola watafuta siasa za vyama vingi? itakuwa marufuku au yule ambaye atakuwa ccm atatiwa ndani?

Hatuna mawazo majitaka kama hayo ambayo yapo kwa wanachama wengi wa CCM na serikali yake..sisi tutashughulikia wezi wote na vyama vinavyoficha wezi..na tutaanza na hili genge la majambazi CCM...
 
Back
Top Bottom