CCM yaupoteza upinzani Tunduma

Kinana bwana cheo chote hicho hajapata hata robo ya wananchi anaokuwa nao David Silinde akiitisha mkutano aibu katibu kuandaliwa wanafunzi na waalimu kwa lazima wasio na uniform
 
hv ww upo nchi kwani hujui ccm wanatumia malori na kugawa vijisenti na flana pamoja na kanga.acha fikra mgandisho badilika,tunahitaji viongozi bora wenye mtazamo na taswira nzuri ya inchi hii.
 
Aliyeandika masuala ya kusombwa na malori muongo sana na nafikiri muda ukifika utachoka kuandika upuuzi huu hapa maana unaowadanganya wameshaelewa kubali tu kuwa CCM chini ya Kinana ni kitu Kingine kabisa.... na kubali 2015 ni kilio kwenu.
 
Kumbe Fusso ngapi zilileta watu hao,pia nasikia pilau ilikuwepo lol ati walikuja na sera nzuri zipi hizo hawa Maccm kweli yamelogwa naaliyewaloga kafa zamani so kupona sio rahis labda miujiza tu ndio itwatoa wanasema kuibeba CCM ni sawa na kubeba gunia la mavi kama utaweza kulibeba lakini litakushinda kwa harufu so thats Maccm halafu cha ajabu kila yanapopita yanatoa ahadi mpya wakati zile za zamani alizotoa Fisadi Kikwete bado kabisa. Lol Kinana naye ati ni jembe,Jembe ganiii?? Tembo wakisikia tu harufu yake wanakimbia ama kweli ''WEKA MBALI NA TEMBO'' by Mh Peter Msigwa.
 
Wakati mwingine ni vema watanzania tukafunguka macho. Hivi hayo maisha bora tuliyoahidiwa yako wapi?
 
hv ww upo nchi kwani hujui ccm wanatumia malori na kugawa vijisenti na flana pamoja na kanga.acha fikra mgandisho badilika,tunahitaji viongozi bora wenye mtazamo na taswira nzuri ya inchi hii.
Wewe naona unakumbuka maroli ya mbowe aliyotaka kukiuzia chadema kwa milioni 500 tapeli mkubwa huyu.
 
Hahahahahaaaa... acha n'cheke mie..Mleta mada mwenyewe anasema "KATIKA HALI ISIYO YA KAWAIDA ccm wameongea mambo ya msingi leo" Hii ni kwa wenye akili tu.
 
katibu mkuu wa ccm ndugu abdulrahman kinana ameuangamiza kabisa upinzani tunduma katika mkutano mkubwa uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi mwaka.
Nape jembe la chama alibebwa juu juu kama shujaa na pia mama migiro alishangiliwa sana.

Katika hali isiyo ya kawaida ccm imedhihirisha kukomaa kisiasa baada ya kuongea mambo ya msingi yenye kueleweka.

malory+ubwbwa+muzic wa kizazi/bongoflava/platnums=ccm
ccm-malory-ubwabwa-muzic wa kizazi kipy/bongoflava/platinums=0/aibu
 
attachment.php
attachment.php

!
!
huyu bwana ana bonge la ndonga,hadi kofia kama haimtoshi hivi.
 
Kionyesho cha kuangamiza upinzani ni wingi wa watu ktk mikutano yenu? Kama ndo hivyo mlishashindwa muda mlefu. Subiri kidogo m4c itakayolindwa na redbrigade wenyewe, maana hamkawii kuilipua.
 
Na kulikuwa na mafuso mangapi ili tujue uwingi wa walioletwa kujaza nafasi
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ameuangamiza kabisa upinzani Tunduma katika mkutano mkubwa uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya msingi Mwaka.
Nape Jembe la Chama alibebwa juu juu kama shujaa na pia Mama Migiro alishangiliwa sana.

Katika hali isiyo ya kawaida CCM Imedhihirisha kukomaa kisiasa baada ya kuongea mambo ya msingi yenye kueleweka.
 
Back
Top Bottom