Chama cha Mapinduzi (CCM) , kimetangaza kuunga Mkono Mazungumzo yanayoendelea kati ya Mwenyekiti wao na viongozi wa Chadema , yenye lengo la kuleta usawa wa KIDEMOKRASIA na HAKI , kwa MASLAHI MAPANA YA TAIFA.
Kauli hii nzuri imetangazwa hadharani na Shaka Hamdu Shaka , ambaye ni Katibu wa Uenezi na Itikadi wa Chama hicho , alipoongea na Waandishi wa Habari .
Ndugu yangu erythrocyte, nakumbuka wakati wa kampeni Kuna jina nilikupa Kama sikosei powercef,
Niseme tu ndugu, Kama family ya Chadema na kutokana na kauli ya katibu mkuu tunaunga mkono ,ila
Ndugu Shaka ,katibu mwenezi wa CCM Wala sie wanachadema hatuna shida ya kumsikiliza, yeye anatoa KWa upande ule, nasi Myika anatoa KWa upande wetu, kwanza hata kauli yake sijaelewa Mie, at mazungumzo na wenzetu upande wa pili yaendelea vizuri, he wapi hao,
Sasa nasema chadema hatuitaji mazungumzo ya Shaka, maana ccm inawenywe, chadema ina umma,
Twatakacho ni MOJA mh kuanzisha mchakato wa katiba mpya hapo endeleeni na mazungumzo hata Mara kumi , hakuna iyo dalili WANAUMA WANASEMA HAWATAKI ,SASA MTALAZIMISHA, NA HII MSIPO KUWA MAKINI YAENDA LETA MATATIZO
wanachadema na wapenda haki rais asimame aseme mchakato unaanza ,process zianze , mazungumzo yaendelea hamna shida,
Je mwajua wananchi wameanza kuwa na hasira, ccm Hawa sio wa kulemba, Mh kiongozi wangu Mbowe ,mpaka mdaa wadau wengi wanataka response KWa kile kimewakilishwa haiwezekani achana na mambo haya, tukajenge chama, tuna campen nying na Kama zinalala Sasa mfano
Join the chain,chadema digital, katiba, naona zinaanza zorota