Kutoka zile kauli za "MBOWE ni GAIDI" Hadi kusema "MBOWE ni MSALITI" ni hatua pia. TUTAELEWANA tu... Hii style alikuwa anaitumia zaidi JK. Iko hivi wameona hakuna haja ya kuangaika na watu wasio na madhara,sana sana ni kuleta attention kwa wafadhili wazungu bila sababu ya msingi. Hii style ilitumika sana kipindi cha JK. Na watakaofaidi hayo mnayoyaita maridhiano ni Mbowe na waliomzunguka.. FULL STOP. Ila mwananchi wa Tandahimba na Nyangulukulu mfuasi wa CHADEMA hayatamuhusu hata kidogo. Ukitaka kuamini hilo,hata akina Mdee watakaa bungeni hadi 2025 na story ya katiba mpya ndo imefika mwisho. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, ila mwisho wa movie watakaoathirika kisaikolojia ni wafuasi wa vyama wanaochukulia siasa kama ushabiki wa Simba na Yanga.
Kutokea zile kauli za "MBOWE GAIDI" Hadi "MBOWE MSALITI" ni hatua pia. TUTAELEWANA tu... Hii style alikuwa anaitumia zaidi JK. Iko hivi wameona hakuna haja ya kuangaika na watu wasio na madhara,sana sana ni kuleta attention kwa wafadhili wazungu bila sababu ya msingi. Hii style ilitumika sana kipindi cha JK. Na watakaofaidi hayo mnayoyaita maridhiano ni Mbowe na waliomzunguka.. FULL STOP. Ila mwananchi wa Tandahimba na Nyangulukulu mfuasi wa CHADEMA hayatamuhusu hata kidogo. Ukitaka kuamini hilo,hata akina Mdee watakaa bungeni hadi 2025 na story ya katiba mpya ndo imefika mwisho. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, ila mwisho wa movie watakaoathirika kisaikolojia ni wafuasi wa vyama wanaochukulia siasa kama ushabiki wa Simba na Yanga.