eliasmisinzo
JF-Expert Member
- Aug 13, 2021
- 1,259
- 1,323
Sasa kina Paskali Wana madhara gani?Kuweni makini... ccm na wanachama wake akina Paskali hawaridhishwi na kinachoendelea!
Sasa kina Paskali Wana madhara gani?Kuweni makini... ccm na wanachama wake akina Paskali hawaridhishwi na kinachoendelea!
.. Hii style alikuwa anaitumia zaidi JK. Iko hivi wameona hakuna haja ya kuangaika na watu wasio na madhara,sana sana ni kuleta attention kwa wafadhili wazungu bila sababu ya msingi. Hii style ilitumika sana kipindi cha JK. Na watakaofaidi hayo mnayoyaita maridhiano ni Mbowe na waliomzunguka.. FULL STOP. Ila mwananchi wa Tandahimba na Nyangulukulu mfuasi wa CHADEMA hayatamuhusu hata kidogo. Ukitaka kuamini hilo,hata akina Mdee watakaa bungeni hadi 2025 na story ya katiba mpya ndo imefika mwisho. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, ila mwisho wa movie watakaoathirika kisaikolojia ni wafuasi wa vyama wanaochukulia siasa kama ushabiki wa Simba na Yanga.
Wapo ccm wengi tu wenye roho mbaya hawataki kuona watu wenye mawazo kinzani wakiishi Tanzania. Wapo radhi wakufanye chochote kinachowezekana!Sasa kina Paskali Wana madhara gani?
Hii ni mbinu ya ngapi maana wanazo zaidi ya 1000
Mlishaambiwa mkazikwe pembeni ya JiweNdio. Unasemaje wewe nyumbu.
Walivyo wapuuzi MaCHADEMA yanaomba maridhiano wakati yenyewe yanadhulumu wanawake. Yafanye maridhiano pia
Wangekuwa na mbinu hizo Jiwe asingeongoza nchiShida mnaipa CCM sifa isizo kuwa nazo. Wangekuwa na mbinu wasingekubali kuharibu uchaguzi wa 2020 na 2019. Wangekuwa na hizo mbinu wasingekubali wankopa kwa mabeberu. CCM ilishaishiwa ipo kwasababu sheria na vyombo vya ulinzi vinaipendelea.
Huo ni muafaka wa Mbowe na Ccm, hivyo mnufaika ni Mbowe maana ataanza kulamba asali.2015, CCM waligeuka Mwafaka wao na CUF. Maalim alipomshinda Shein kwenye sanduku la kura, wakafuta matokeo ya uchaguzi. Huu mwafaka wa CHADEMA na CCM utakuwaje tofauti? Hili ni swali ambalo kila anayeifahamu CCM vizuri anajiuliza.
Hahaaaa....CHADEMA imebaaanaaa,imeachia. Mbowe alishasoma upepo kwamba kupitia kwa mama Samia atapata Mali zake zilizopotea. Amekuja na gear ya maridhiano ya kisiasa.
Jiulize kwani Kuna tatizo miongoni mwa watanzania. Hayo maridhiano ni baina yake na serikali wala sio kwa niaba ya watanzania.
#hatamboweamelambaasali
Bila kuwasahau SUKUMA GANGNi habari mbaya sana kwa wale MATAGA!
Sahau,acheni mahakama ifanye kazi.Maridhiano siyokuingilia mihimili mingineCovid 19 first. Waondolewe bungeni. Haitakuwa na maana kuridhiana wakati wanainajisi katiba.
Ila ni halali kwa Mhimili wa Mahakama kuingilia Bunge !Sahau,acheni mahakama ifanye kazi.Maridhiano siyokuingilia mihimili mingine
.. Hii style alikuwa anaitumia zaidi JK. Iko hivi wameona hakuna haja ya kuangaika na watu wasio na madhara,sana sana ni kuleta attention kwa wafadhili wazungu bila sababu ya msingi. Hii style ilitumika sana kipindi cha JK. Na watakaofaidi hayo mnayoyaita maridhiano ni Mbowe na waliomzunguka.. FULL STOP. Ila mwananchi wa Tandahimba na Nyangulukulu mfuasi wa CHADEMA hayatamuhusu hata kidogo. Ukitaka kuamini hilo,hata akina Mdee watakaa bungeni hadi 2025 na story ya katiba mpya ndo imefika mwisho. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, ila mwisho wa movie watakaoathirika kisaikolojia ni wafuasi wa vyama wanaochukulia siasa kama ushabiki wa Simba na Yanga.
Hakuna mahakama, bali kuna majengo ya mahakama yanayoendeshwa na makada wa CCM, na kazi yao ni kutumika na watawala wa CCM kukomoa washindani wao kisiasa.Sahau,acheni mahakama ifanye kazi.Maridhiano siyokuingilia mihimili mingine
akamalizia kwa kusema "WHY???"Wanajipanga kuja kupongeza. Mh Bwege aliwahi wafananisha na yule aloulizwa:
Swali: Umeshiba?
Jibu:Eeeeee!!!!
Swali: Una njaa?
Jibu: Eeeeeee!!!!
Kuweni makini... ccm na wanachama wake akina Paskali hawaridhishwi na kinachoendelea!
Dr. Charles Mahera hastahili kuendelea kuwepo ofisi ya tume ya taifa ya uchaguzi. Huyu alichangia sana uchafuzi wa 2020 na upelekaji wa Covid 19 bungeni.Ni jambo jema