CCM yatoa tamko juu ya mauaji ya Daudi Mwangosi

CCM yatoa tamko juu ya mauaji ya Daudi Mwangosi

Polisi hawajaanza leo kuua, juzijuzi waliua Mbeya wamachinga walipo goma, tena siku si nyingi wakaua Songea.
Nape hawazi kwa kutumia masaburi, hawazi kabisa
 
Waliosababisha wachukuliwe hatua kali kabisa, nakuunga mkono Nape
 
Simlaumu NAPE NNAUYE, halijui atendalo, ni mtoto wa nje ya ndoa na amekosa mapenzi na malezi ya baba. Mwacheni aendelee kuropoka
Umenena mkuu, namkumbuka sana marehemu Moses Nnauye mwaka 1990 aliongoza jopo la vijana kwenye tamasha kule Pyongyang Korea, alionesha tabia zake za ajabu sana ambazo dhahili Nape amezilithi pamoja na kuwa ni mtoto haramu.
 
Yeye ni vuvizela tu, ametumwa na bwana ake, yule nyoronyoro mpangaji wetu kwenye lile jumba letu kubwa.
 
Kumbe waliambiwa wasitishe mikutano yao mpaka sensa iishe?

Wanaleta fujo na machafuko halafu wanakuja humu JF kujidai wameonewa? hawa wana matatizo makubwa sana na wakiendelea kuachwa wataitumbukiza shimoni hii nchi, wadhibitiwe mapema sana, hatua nzuri ni kukifuta tu hiki chama.
 
Kwa maneno haya namini kweli nape una kovu kubwa kwenye ubongo wako, ysitajika ufanyiwe mind checkup hauko sawa kiakili kabisa 99.99%
 
Kumbe waliambiwa wasitishe mikutano yao mpaka sensa iishe?

Wanaleta fujo na machafuko halafu wanakuja humu JF kujidai wameonewa? hawa wana matatizo makubwa sana na wakiendelea kuachwa wataitumbukiza shimoni hii nchi, wadhibitiwe mapema sana, hatua nzuri ni kukifuta tu hiki chama.

uzuri wako wewe ni kichenchede tu, porojo za jf hazizuii m4c, wewe piga kelele tu kama kama gumegume kipindi cha masika, usisahau kipindi cha kiangazi utakiwa kwenye matope.
 
Wewe nilidhani ni mzima kumbe wa kupuuwa tu.

Sema mimi ni kwanini ni wa kupuuwa tu??? Elezea kwa kirefu basi? Ieleweke... Short explanation does not hold water!!!
 
Waliosababisha wachukuliwe hatua kali kabisa, nakuunga mkono Nape

Kama wanavyoonekana pichani

criminalpolicejpg-2204293_p9.jpg
 
hivi kama ni kuwajibika jk angeshawajibika mara ngapi?
 
hapa unamwambia nape au IGP au RPC au unaosha kinywa japo usipitwe na mazungumzo.

Hapa nasema yeyote aliyeamrisha watu waende kwenye mkutano wakati Serikali imezuia.
 
Hapa nasema yeyote aliyeamrisha watu waende kwenye mkutano wakati Serikali imezuia.
Kwani adhabu ya wale wanaofanya mikutano bila kibali ni kuuawa? Hamna namna ya kuepa kesi ya mauaji! Safari hii mmepatikana!!
 
Dr. Slaa awajibike kivipi huyu kijana ana alikli gani? JK ndiye anayetakiwa kuwajibika kwa sababu serikali yake kupitia jeshi lake la polisi limeshindwa kulinda wananchi na badala yake wanawaua. Kwanza haoni JK kaa kimya bila shaka anatafakari la kusema sasa huyu kijana mbona kiherehere sana ? Please he is not the Mr. President he is pre-emptying him for goodness sake!! Tena Nape anazidi kunaonyesha alivyo mzito, kukosa adabu na weledi na kudhihirisha udomo kaya wake. Evidence zote zinaonyesha kosa ni la nani halafu aanaleta longolongo? Namsahuri akae kimya kuliko kujidhalaisha kiasi hiki. Atawaachia watoto wake picha gani kuhusu uadilifu???? . Atawaachia wakati mgumu kwa kuwa na Baba mwongo hivi!!!!!!!!!!!!!! Akumbuke historia ya Tanzania inaandikwa kila kukicha.
 
Nape ni sawa na kunguru mweusi afugiki, cheo chako kinahusu maswala ya siasa tena ndani ya ccm tu kwenye issue za criminal offense unaingia kama nani ? familia ya ndugu wa mwangosi ndio labda wangeiomba tume iwe makini na siyo wewe.kama raia wengine wote wa Tanzania unatakiwa kuiachia tume ifanye kazi yake bila kuingiliwa na mtu yeyote.
 
Laiti Chama hicho kingesubiri siku chache zilizobakia kabla ya Sensa kuisha kabla ya kuendelea na mikutano yake ni dhahiri mauaji haya yasingetokea. Lakini kauli za kukebehi na uamuzi wa kukaidi amri ya Jeshi la Polisi na kusema "tupo tayari kwa lolote" ni ishara kwamba Chama hiki kiliandaa na kujiandaa na fujo zilizotokea.

Huu ni unafiki mbona kule Zanzibar Buibui CCM ilikuwa na mkutano na tamasha la Fiesta liliendelea kule Mwanza wakati huo huo CDM ikiwa katika shughuli za kichama wala si mkutano wa M4C? HUU UNDUMILAKUWILI UFE haraka sana. Shame on you Kijana tarumbeta la magamba.
 
Back
Top Bottom