Majanikv,
Hakuna hoja hapo ulichofanya umeweka hiyo orodha ambayo umeipenda. Kumbuka Chadema majimbo kama ya Kawe, Ubungo, Nyamagana, Ilemela, Ukerewe, na mingineyo lazima watayapoteza.
onyesha na dhibitisha una akili timamu kwa kutochagua magamba 2015.
CCM, Mwigulu na serikali wajibu hali ya maisha ya Watz hapo watakuwa wamefanya la maana sanaHata mkisema vipi. Mwigulu ni kichwa sana na ni mwiba mkali sana unaochoma upinzani hasa CDM. Mwigulu amejitahidi kujibu hoja za wapinzani kwa umakini mkubwa sana. Nampongeza Mwigulu na kumhakikishia kuwa sisi vijana tuko pamoja naye.
Majanikv,
Hakuna hoja hapo ulichofanya umeweka hiyo orodha ambayo umeipenda.
Kumbuka Chadema majimbo kama ya Kawe, Ubungo, Nyamagana, Ilemela, Ukerewe, na mingineyo lazima watayapoteza.
Wewe sio Mungu Mkuu wacha kusema hivyo!
Hata mkisema vipi. Mwigulu ni kichwa sana na ni mwiba mkali sana unaochoma upinzani hasa CDM. Mwigulu amejitahidi kujibu hoja za wapinzani kwa umakini mkubwa sana. Nampongeza Mwigulu na kumhakikishia kuwa sisi vijana tuko pamoja naye.
2015 hakuna tena uchaguzi kila kabila litarejeshewa utawala wake wa jadi yaani mazumbe machifu na watemi ili kila kabila na koo isimamie rasilimali zake. Mambo ya katiba mpya.
hili nalo neno kuliko ccm warudi 2015 ni bora iwe hivyo au 2gawane nchi mi kwetu kanda ya ziwa kwa wazee wa kazi tutaanzsha jamhuri yetu ole wao mafsad na matoto yao yalete pua ni kubhapeja bhuke,bla kusahau kina mura tutakuwa nao ktaeleweka.
Ni kweli tutashinda uchaguzi mkuu kwasababu hizi.
1.tumepata wahitimu weengi vyuo vikuu ajira hakuna na tumewaambia wajiajiri tu bila hata mtaji wowote.
2.tumejenga shule nyingi za sekondari bt wanafunzi hawajui kusoma wala kuandika,walimu hakuna,vitendea kazi hakuna.
3.graduate wajiajiri kwani watoto wetu wao wanasoma nje na wakirudi tu,tunawapa kazi maofs nyeti kama TPA,TRA etc,ila wengine mjiajiri tu jamani.
4.tutamtumia Zitto kuhakiksha CHADEMA hapakaliki ili Dr.slaa asigombee.
CCM OYEEEE ONGEZENI MENGINE MAKADA WENZANGU WA MAGAMBA.
Mbona Sudani ya Kusini imepata Republic yao! Hakuna cha ajabu duniani.Hivi kule kwenu ni nyamwezi land au sukuma land lakini nyie hamkupata uhuru kama zenji. Wenzetu wanajengewa bandari na wengine wanataka The Republic of Ntwarazone.
Ni kweli tutashinda uchaguzi mkuu kwasababu hizi.
1.tumepata wahitimu weengi vyuo vikuu ajira hakuna na tumewaambia wajiajiri tu bila hata mtaji wowote.
2.tumejenga shule nyingi za sekondari bt wanafunzi hawajui kusoma wala kuandika,walimu hakuna,vitendea kazi hakuna.
3.graduate wajiajiri kwani watoto wetu wao wanasoma nje na wakirudi tu,tunawapa kazi maofs nyeti kama TPA,TRA etc,ila wengine mjiajiri tu jamani.
4.tutamtumia Zitto kuhakiksha CHADEMA hapakaliki ili Dr.slaa asigombee.
CCM OYEEEE ONGEZENI MENGINE MAKADA WENZANGU WA MAGAMBA.
inawezekana ni kichwa lakini kichwa cha mguu wa tatu unaohang katikati ya miguu mingine miwili, kwani sifa yake kuu iliyotukuka ni kuchukua wake za watu. obvious ni kichwaInawezekana akawa na hali mbaya jimboni kwake lakini jamaa ni kichwa