fedha za chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Idara ya Fedha na Uchumi CCM amtaka CAG kufanya ukaguzi wa fedha za Tone tone za Chadema

    Katibu wa Idara ya Fedha na Uchumi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jamal K. Ali, amemwomba Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi wa masuala ya fedha ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa mujibu wa mamlaka yake kisheria. Akizungumza wakati wa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania John Heche: Wanaonitumia fedha, wazitume kwenye akaunti ya CHADEMA

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Ndg. John Heche amezungumza na watanzania jioni ya Tarehe 11 July 2026 nyumbani kwake Tarime mjini ambapo amewashukuru kwa simu na jumbe za pole. Pia soma:Mnyika afafanua tuhuma za Heche na matumizi ya fedha za ToneTone...
Back
Top Bottom