CCM yasomba viongozi ACT, CHADEMA, CUF Tarime, Mwanza, Bunda, Dar es Salaam

Sioni Kama Kuna kitu Cha kujivunia, na wala sioni kama Taifa Lina faidika na nini kwao kuhama chama. Sioni gain yoyote ki Taifa zaidia ya njaa
 
Hao wote ni proxies mercenaries rat's.. There is no peace in evil. There is complete loss and frustration in the doing of evil.
thats the reason the ccm is having tons and tons of problems... ccm it's the cancer for our nation
 
Mna wacha kutekeleza ahadi mzilizotowa kwa watanzania ambao ndoo wapigaji kura.. Mna nunua mamluki... mnazid kuwa corrupt every single day
 
Upinzani hauwezi kuisha.kwani Yule kijana iliye jiua kwa kujichoma kwa moto pale kulikuwa na chama cha Upinzani.Upinzani uko moyoni ikigoma njia ya vyama Mungu ataleta njia nyingine ya ukombozi
 
Nadhani tatizo siyo udhaifu wa upinzani bali hofu ya mpinzani wa upinzani.

Sijui hali itakuwaje baada ya kuvuna watu wote waliokusudiwa kutoka upinzani. Naamini huko waendako tayari wana malengo yao kisiasa na kimaisha. Kuna kutimia au kutotimia. Lakini tuombe Mungu yatimie,vinginevyo itakuwa hatari zaidi kuliko wasingeenda huko.

Pia naamini wanalazimika kuongea lugha moja kwa sababu malengo yao yanafanana,ila kwa itikadi na mitazamo kisiasa wanatofautiana. Ndiyo maana walikuwa kwenye vyama mbalimbali.
 
Huyu ndio wa kumpa hasira
IMG-20171214-WA0043.jpg
 
Acha hasira hizi ni siasa mkuu tuu
Kumbe hasra! hayo ndo mawazo yako ndg hapa hakuna hasira ,hasra ziko ccm kwenye vikosi vya kuteka n kuuwa kwann huulizi swala je nikiasi gani ccm wanachotumia kununua wapinzani badala ya kufanya maendeleo kwa nchi?leo hata ww hapo nikikuuliza toka serikali hii imeingia madarakani nn imefanya zaidi y kufungua kazi za muheshmiwa kikwete?bajeti zake zote mbili zimefanya nn?tuliambiwa wafanyakazi hewa,kodi warokwepa wamelipa je zimefanya kazi gani zaidi ya kutumia kununua wapinzani?fanya uchunguzi kwanza kabla ya kusifia mpumbavu ww hv huwa mnafanywaje ?.
 
Upinzani tunauhitaji jamani lakini siyo kama huu unaoongoza na viongozi wa kudumu.
 
Kumbe hasra! hayo ndo mawazo yako ndg hapa hakuna hasira ,hasra ziko ccm kwenye vikosi vya kuteka n kuuwa kwann huulizi swala je nikiasi gani ccm wanachotumia kununua wapinzani badala ya kufanya maendeleo kwa nchi?leo hata ww hapo nikikuuliza toka serikali hii imeingia madarakani nn imefanya zaidi y kufungua kazi za muheshmiwa kikwete?bajeti zake zote mbili zimefanya nn?tuliambiwa wafanyakazi hewa,kodi warokwepa wamelipa je zimefanya kazi gani zaidi ya kutumia kununua wapinzani?fanya uchunguzi kwanza kabla ya kusifia mpumbavu ww hv huwa mnafanywaje ?.
Chadema kwisha kazi yake.
 
Hata ukitumia lugha za kihuni huni haitakusaidia kitu. Chadema kwishilia mbali.
Wala hakuna lugha ya kihuni hapo zaidi ya ww kuwa uelewa wako mdogo sana ndo maana unasema hivyo wp kuna uhuni hapo ,watu kuhama c jambo geni kweni wangapi wametoka ccm na sasa wak9 CDM ,ACT na vyama vingine unashangaa nini ewe mpumbavu.
 
huu ushindani wa mechi refa kutoka upande wa timu sio sawa. bila katiba mpya turudi tu kwenye chama kimoja....
 
Wa nakwenda kuunga mkono kampeini za kurudisha nyumba za umma zilizoongwa. Big up
 
Back
Top Bottom