CCM yasomba viongozi ACT, CHADEMA, CUF Tarime, Mwanza, Bunda, Dar es Salaam

Hawa vijana ndio taifa lijalo wapigwe msasa vizuri ili wajitambue ili wazee watakapopumzika hawa waupokee mwenge.
 
Duh mbona ACT atabaki zitto peke yake. Ila mwisho wa yote CCM ni chama cha watu wajinga wajinga tu.

MWENYEKITI MPYA UVCCM AANZA KWA KUVUNA VIONGOZI WA UPINZANI KAMA KUMBI KUMBI
VIONGOZI WAFUATAO TOKA TARIME, MWANZA, BUNDA, DAR, BUTIAMA WAPOKELEWA NA MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA NDUGU KHERI JAMES JANA JIONI KWENYE MKUTANO MAALUM WA KUTAMBULISHWA KWAO AMBAPO ALIKUWA NA MH. HUMPHREY POLEPOLE NA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM TANZANIA BARA, MH. MPOGORO.
1. Pascal Maswi Waryoba
Mwenyekiti ACT (W) Tarime.
2. Antoni Matiko Marigiri
katibu wa mipango na uchaguzi (W) Tarime

3. Yasini Iddy Daudi
katibu vijana ACT (W) Tarime

4. Julius Sinda Nyankomo
katibu CUF (W) Tarime

5. Rose Peter
mwenyekiti vijana ACT (W) Ilala.

6. Nabii Andrew
Msanii wa nyimbo za kuhamasisha chadema.
7. Emmanuel Kitundu
Afisa tawala ACT Makao Makuu
8. Wilfred Noel Kitundu
Mwenyekiti (M) Singida

9. Namamia John Wazae
Mwenyekiti (W) Singida Mjini.
10. Mch. Lip Loth Robert
Katibu (M) Singida

11. Robert Gwanchele
Alikuwa katibu wa mkoa ACT mkoa wa Mwanza.
12. Ramadhan Itenya
Alikuwa mwenyekiti ngome ya vijana ACT - MKoa wa Mwanza na pia aligombea ubunge ACT jimbo la Bunda Vijijini
13. Julius Kambarage
Muasisi wa ACT jimbo la Butiama na mgombea ubunge 2015 jimbo la butiama kupitia ACT.
14. Jackob Mosha
Mwenyekiti BAVICHA kata ya Mabibo
15. Mwantum Mgonja
Afisa Sheria ACT makao makuu.


Hiyo CDM ni SACCOS na mwaka huu ndio tunavyunja sasa tunakula wachache tuu
 
Anae shabikia kuua upinzani wa kisiasa hajui madhara ya siasa za chama kimoja. Hakuwahi shuhudia kupeleka fomu kwa katibu wa tawi ccm kuomba kwenda chuo kiku, kushushwa kwenye bus na m/kt wa kijiji kulima shamba la kijiji ndio safari iendelee, nk nk.
 
Shida ya chadema ni kutoa majibu mepesi kwenye hoja nzito, Mnadanganywa kuwa wamenunuliwa but hamtaki kuthink beyond kwanini wanunuliwe kila siku? Kuna tatizo ndani ya chama na poor delegations of power and authority ndani ya chama, misuse of chama funds ni sehemu ya matatizo,
 
Cdm ni taasisi c mtu mmoja wao nao wanauchaguzi wa kunyoa ama kusuka,kwa hivyo wameamua kunyoa wacha waende wakajaribu huko waendako.
 
Mda n mwalim mzur sana wapendwa, naamin matokeo ya hii hamahama tutayaona tu. Time wil tel the truth
 
Huyo namba 4. Julius sinda (madiluu) alihama CUF tangu 2015 uchaguz mkuu akimfuata Mwera ACT....hivyo hakuwa na wadhifa wowote ule....miaka ya nyuma hao wote kutoka tarime walikuwa chadema wakafukuzwa kwa usaliti
 
Insikitisha kwa hili lililowafikia ACT, kama ni ushawishi wa CCM basi hapo nadhani kuna kosa linafanyika, kuwapokea upinzani kwa wingi hivi kutatuletea shida ndani ya chama na kuna hatari ya mpasuko
 
Huu ni upepo utapita, hata CCM 2015 watu wengi sana walihama lakini hao hao wakaanza kurudi.
Huu ni upepo utapita, hata CCM 2015 watu wengi sana walihama lakini hao hao wakaanza kurudi.
Acha waende tu!wanafata mpunga huko lkn naskia wanakutana n'a mpunga tofauti waliyohaidiwa,kuna jamaa mmoja alitoka cdm kwenda ccm alihaidiwa kupewa Mln 50 akahama,alipokwenda kwenye ac yke kucheki akakutana na Mln1,

Ova
 
Back
Top Bottom