CCM yasomba viongozi ACT, CHADEMA, CUF Tarime, Mwanza, Bunda, Dar es Salaam

Wapinzani wenye nguvu ndo kwanza wataibuka.. Hao maslahi tumbo bora tu wawahi viti vyao vya upendeleo huko huko ccm..!
Mapambano ndo kwanza yanaanza upya..!!
 
Maendeleo ya viwanda ndiyo hayo . ....

Umeme kila mida wakatika tu nawengine ndio wanawahi uteuzi hasa baada ya mkuu kudai hapewi majina ili ateue

Upinzani utakuwepo tena utakuwa imara
 
MWENYEKITI MPYA UVCCM AANZA KWA KUVUNA VIONGOZI WA UPINZANI KAMA KUMBI KUMBI
VIONGOZI WAFUATAO TOKA TARIME, MWANZA, BUNDA, DAR, BUTIAMA WAPOKELEWA NA MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA NDUGU KHERI JAMES JANA JIONI KWENYE MKUTANO MAALUM WA KUTAMBULISHWA KWAO AMBAPO ALIKUWA NA MH. HUMPHREY POLEPOLE NA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM TANZANIA BARA, MH. MPOGORO.
1. Pascal Maswi Waryoba
Mwenyekiti ACT (W) Tarime.
2. Antoni Matiko Marigiri
katibu wa mipango na uchaguzi (W) Tarime

3. Yasini Iddy Daudi
katibu vijana ACT (W) Tarime

4. Julius Sinda Nyankomo
katibu CUF (W) Tarime

5. Rose Peter
mwenyekiti vijana ACT (W) Ilala.

6. Nabii Andrew
Msanii wa nyimbo za kuhamasisha chadema.
7. Emmanuel Kitundu
Afisa tawala ACT Makao Makuu
8. Wilfred Noel Kitundu
Mwenyekiti (M) Singida

9. Namamia John Wazae
Mwenyekiti (W) Singida Mjini.
10. Mch. Lip Loth Robert
Katibu (M) Singida

11. Robert Gwanchele
Alikuwa katibu wa mkoa ACT mkoa wa Mwanza.
12. Ramadhan Itenya
Alikuwa mwenyekiti ngome ya vijana ACT - MKoa wa Mwanza na pia aligombea ubunge ACT jimbo la Bunda Vijijini
13. Julius Kambarage
Muasisi wa ACT jimbo la Butiama na mgombea ubunge 2015 jimbo la butiama kupitia ACT.
14. Jackob Mosha
Mwenyekiti BAVICHA kata ya Mabibo
15. Mwantum Mgonja
Afisa Sheria ACT makao makuu.
Sasa hao ACT si wamebaki mifupa na ngozi tu?
 
Inasaidia nini wana nchi, ni muda wa kufanyavkazi siio kuchagua viongozi. Change mode
 
Hiyo picha kuna jamaa kavaa jezi ya simba halafu juu kavaa kofia ya njano na kijani, hivyo amevuruga sana hali ya hewa
 
Muda huwa unaleta mazowea ya kila kitu. Hii hamahama imeanza kuonekana ni kitu cha kawaida tu
 
Kuna ICBM ipo Nairobi hospital siku ccm wakiweza kuivuna hiyo ndipo watakuwa wameushinda upinzani
Sio hao hata ktk wilaya zao hawajulikani
 
Zile dakika Lowassa alikatwa kamati kuu-Ccm ilikuwa kama katika mchezo wa kandanda ambapo ccm walinawa mpira, ikaamriwa CDm wapewe penalty wapige kuifunga Ccm, cha ajabu, walipiga penalty kwa kuuweka mpira (Lowassa) nyavuni kwa golikipa wao (slaa).
Na hayo yalikuwa makosa ya kushindwa kuielewa dira kwa mbele.
 
Shida ya chadema ni kutoa majibu mepesi kwenye hoja nzito, Mnadanganywa kuwa wamenunuliwa but hamtaki kuthink beyond kwanini wanunuliwe kila siku? Kuna tatizo ndani ya chama na poor delegations of power and authority ndani ya chama, misuse of chama funds ni sehemu ya matatizo,
Usisahau land alienation na lack of cheap labour
 
Back
Top Bottom