CCM yashinda uchaguzi mdogo Bububu Zanzibar

mimi nishasahu kama zenji kuna vyama pinzani!!
kuthibitisha hilo ni ushindi wa 0.7%..
inaingia akilini ni ushindi au usanii wa mke & mume wasirudie uchaguzi..

kule wapinzani ni siri-kali(chini ya mgongo wa bara) vs uamsho tu basi..
siku bara wakitoka uamsho unatawala..
 
Mgombea wa ccm katika uchguzi mdogo jimbo la bububu zanzibar ametangazwa mshindi leo hii kwa kupata asilimia 57 ya kura zote zilizopigwa. Source ni itv habari sa 2 usiku huu
Acha uongo, CUF wameshinda ila Mabwepande wametangazwa washindi kwa 50.7% huku CUF wakipewa 48.2% na vyama vilivyobaki asilimia iliyobakia. Yaani ni kama Maalim Seif na Dr. Shein mwaka juzi. Halafu baada ya hapo askari wa Mabwepande wakaanza kupiga mabomu wananchi waliowapigia kura! Yaani, ni kama vile Bubu-bu hakuna binadamu ila ni Zinjathropus tu!
 
Kishindo ni kishindo tu hata kama ni 0.00001% bado ni kishindo. Hapo kuna ubaya gani?? wakati Baba na Mama walienda sokoni kununua Nyanya, Mama kujisachi kwenye pochi hana hela, Baba akatoa zake kununua, Nyanya zile si zitaliwa na wote??

Mkuu hii thread imeunganishwa! Mwanzoni hakukuwa na %
 
Mgombea wa ccm katika uchguzi mdogo jimbo la bububu zanzibar ametangazwa mshindi leo hii kwa kupata asilimia 57 ya kura zote zilizopigwa. Source ni itv habari sa 2 usiku huu

Jimbo lilikuwa la CCM; CCM walishinda kwa Mabomu au kwa Kura?
 
huyo mwakilishi nimesikia ana uraia wa nchi mbili vipi Tanzania tumeruhusu uraia wa nchi mbili? ana uraia wa Canada na Tanzania, ubalozi wa Canada upo Dar watatueleza zaidi
 
wana JF mmezidiiiii
ivi upizani tanzania ni chadema tuu kwa mtindo huu mmekwishaaa
ccm hawakushinda bububu wamelichukua jimbo la bububu kwa nguvu kubwa ya dola iliyoambatana na uwagaji wa damu.huku mpaka sasa ni mabomu tu na vipigoo kwa kila anaeonekana amani ya nchi hii inauliwa na ccm na serekali yake.nasubiri kuwasikia waandishi wa habari na headlines zao watalaani mauwaji au ni kwa muandishi tuuu

''siku inakuja wataomba milima iwaangukie wasikutane na hukumu yao''
 
Hapo sinaimani watakuwa ccm wamechakachua tu 0.7????? ina ulakini sana ndio maana Tabora walishinda kwa kura 1 tu yaani ni maajabu sana kwa nchi inayosema inafuata utawala wa sheria kumbe maneno tu
 
Back
Top Bottom