STORY ZA KUTENGENEZWA HIZI. ...YAANI WAACHE KWENDA ACT WAZALENDO WAENDE CHAMA KILICHOJIFIA
Sent using Jamii Forums mobile app
China wananchi wananufaika na kodi zao,Hakuna upigaji, ufisadi, wala 10%,wala wasiojulikana kuwateka wananchi, maendeleo hadi vijijini,elimu,afya bure na bora upinzani watapinga nn maana hakipo kero za wachina zinatatuliwa
Ni mwaka mgumu sana kwa Ccm, ukipita vijijini utasikia akina mama,vijana,wazee wakiongea bila kumung'unya maneno kuwa hawaitaki tena Ccm2020 watahamia wengi sana CCM hawataamini macho yao
Hii picha ni ya lini na source ni ipi.Wanachama zaidi ya 100 wamekihama chama cha mapinduzi na kujiunga na cdm kutoka kijiji cha boregi wilayani Tarime kwa madai ya kuchoshwa na utawala wa mabavu. Haya sasa wanao dhania cdm imekufa wajitafakari upyaView attachment 1057810View attachment 1057811View attachment 1057812
In God we trust
STORY ZA KUTENGENEZWA HIZI. ...YAANI WAACHE KWENDA ACT WAZALENDO WAENDE CHAMA KILICHOJIFIA
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hujawahi kutuwekea? Vichaa mna shidaPicha za miaka 7 iliyopita.
Kweli chadema mnavuta bangi wote wakubwa kwa wadogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamenunuliwa hao. Au vipi makamanda! Alafu ebu edit tarehe ya kwenye tangazo hapo nyuma kabla wengine hawajaja kuona. Itasaidia kuwaingiza cha kike.Wanachama zaidi ya 100 wamekihama chama cha mapinduzi na kujiunga na cdm kutoka kijiji cha boregi wilayani Tarime kwa madai ya kuchoshwa na utawala wa mabavu. Haya sasa wanao dhania cdm imekufa wajitafakari upyaView attachment 1057810View attachment 1057811View attachment 1057812
In God we trust
Ndio akili yake ilipoishia!Kama ni matusi basi umebarikiwa sana sasa hapo kisa cha kuwatukqna wana cdm ni kipi hasa?
Kwani siasa kwako ni uwanja wa vita?
Unashindwa nini kujibu hoja kwa busara tu bila ya kuwatukana watanzania wenzako?
In God we trust