CCM yapata pigo Tarime

CCM yapata pigo Tarime

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
123,261
Reaction score
98,294
Wanachama zaidi ya 100 wamekihama chama cha mapinduzi na kujiunga na cdm kutoka kijiji cha boregi wilayani Tarime kwa madai ya kuchoshwa na utawala wa mabavu. Haya sasa wanao dhania cdm imekufa wajitafakari upya
FB_IMG_1553923898080.jpeg
FB_IMG_1553923907804.jpeg
FB_IMG_1553923892229.jpeg


In God we trust
 
Wanajidanganya sana kwa maneno ya kujifurahisha maana cdm ni taasisi kubwa tu

In God we trust
Kimsingi hao ni wa Tarime watu wa shoka na hawaogopi kuonyesha hisia zao. Lakini watu wengi wameshaiunga mkono Chadema moyoni huku wakijifanya ccm kwa ajili ya mahitaji ya tumbo au kuogopa "wasio julikana"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha za miaka 7 iliyopita.

Kweli chadema mnavuta bangi wote wakubwa kwa wadogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni matusi basi umebarikiwa sana sasa hapo kisa cha kuwatukqna wana cdm ni kipi hasa?
Kwani siasa kwako ni uwanja wa vita?
Unashindwa nini kujibu hoja kwa busara tu bila ya kuwatukana watanzania wenzako?

In God we trust
 
Back
Top Bottom