CCM yapata pigo Tarime

CCM yapata pigo Tarime

Kupanga ni kuchagua
CDM kufa ni ndoto, lakini ukweli ni kuwa hao watu si ni wale wakivamia Ardhi na serekali imewataka waondoke.

Swali jee Chadema ikishika dola watawatimizia wote wale wavamizi wa hifadhi za serekali?

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we trust
 
Cdm hatujawahi ku edit mambo ya kijinga jinga kwani inasaidia kitu gani?
Wamenunuliwa hao. Au vipi makamanda! Alafu ebu edit tarehe ya kwenye tangazo hapo nyuma kabla wengine hawajaja kuona. Itasaidia kuwaingiza cha kike.

In God we trust
 
Kama wale walio waita walio hama chama chao kuwa ni oil chafu lkn walipo rudi kwenye chama hicho hicho wakaitwa ni wafalme![emoji481][emoji485][emoji898]
Ni haki yao kujiunga wanapotaka
lakini siku wakirudi walikotoka pia mtangaze namna hii badala ya kuwatukana matusi mazito.

In God we trust
 
Kwahiyo huyo poropesa ataongoza bendera na jengo tu[emoji16][emoji16][emoji41][emoji41]

In God we trust
Bendera anayo!, jengo atalipata wapi? Yaleyale ya Lyatonga Mrema yanajirudia
 
Kwahiyo umekiri mwenyewe kwamba wale wanaohama CCM na kwenda huko Chama cha Mtu mmoja au wale wanaoenda katika kile Chama cha kwenye Noah na Opa ni wa Wapumbavu? Asante sana kwa Wewe leo Kukiri hivi mwenyewe na bahati nzuri sana CCM huwa hatukai na Wanachama Wapumbavu bali Chama chetu huwa kinaongozwa na Watu ' Geniuses ' tupu na ndiyo maana unaona hadi hivi leo kimeshika Hatamu na Kitaendelea Kushika Hatamu kwa Tanzania Bara na Visiwani hadi pale Dunia itakapopinduka miaka Elfu Kumi ( 10000 ) ijayo kutoka sasa.
Mbona bado mko kwenye mbeleko ya tiss, police na NEC, hamjiamini? mnaogopa nini kutembea wenyewe, au mbeleko tayari imewalemaza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanachama zaidi ya 100 wamekihama chama cha mapinduzi na kujiunga na cdm kutoka kijiji cha boregi wilayani Tarime kwa madai ya kuchoshwa na utawala wa mabavu. Haya sasa wanao dhania cdm imekufa wajitafakari upyaView attachment 1057810View attachment 1057811View attachment 1057812

In God we trust
Subiri uchaguzi ufike ndio utajua chadema imekufa au la,hamkawii kuanza vilio kuipa ubaya tume ya uchaguzi na serikali.mkisahau nchi imeanza na ccm na hao 100 ni sawa na unga kidooogo utokao kwa mtu mwenye ukurutu akijikuna.

Ng'oaaaaaa
tapatalk_1553404059936.jpeg

Jr[emoji769]
 
Naona pia kuwa umesahau hiyo serikali ilikuwa inawategemea watanzania wote bila kujali itikadi zao

Back
Top Bottom