CCM yapata pigo Tarime

CCM yapata pigo Tarime

Kimsingi hao ni wa Tarime watu wa shoka na hawaogopi kuonyesha hisia zao. Lakini watu wengi wameshaiunga mkono Chadema moyoni huku wakijifanya ccm kwa ajili ya mahitaji ya tumbo au kuogopa "wasio julikana"

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mmeamua kujipa matumanini. Weekend muulwa kabisa
 
Watu wanasepa na Wabunge nyinyi mnafurahi wanakijiji 100 baada ya kuwapa rushwa ya Pombe ya kienyeji [emoji3][emoji3]
Umetufumbua macho sana kwa hili post yako

In God we trust
 
Wanachama zaidi ya 100 wamekihama chama cha mapinduzi na kujiunga na cdm kutoka kijiji cha boregi wilayani Tarime kwa madai ya kuchoshwa na utawala wa mabavu. Haya sasa wanao dhania cdm imekufa wajitafakari upyaView attachment 1057810View attachment 1057811View attachment 1057812

In God we trust

Kuna wana CCM ' makini ' na wale wana CCM ' Wapumbavu ' je hao waliohama unadhani watakuwa Kundi gani kati ya hayo Mawili? Siamini kama kuna mwana CCM anayejitambua na anaona kabisa Jembe, Shujaa na Jemedari wa kweli Mwenyekiti Taifa, Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli anafanya Kazi yake nzuri na ' tukuka ' kabisa tena inayoonekana na yenye kila dalili za Kutuletea Watanzania Maendeleo halafu akahama Chama na kwenda hivyo Vyama vya ' hovyo hovyo ' na vile vinavyoongozwa ndani ya Noah au Opa.
 
Upinzani wa kweli upo moyoni sio wa kununua kirahisi
Na hicho chama cha moyoni hakijapata pacha wa chama cha kusajiliwa kwa mujibu wa sheria. Kikipata tu chama cha nje pacha wake mambo yatakuwa 'mpwito mpwito'.
 
Picha za miaka 7 iliyopita.

Kweli chadema mnavuta bangi wote wakubwa kwa wadogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijua tu habari ya siku nyingi, muulize chanzo Cha habari yake.Habari zao siku hizi hata Tanzania Daima haijazipata, juzi juzi walimzawadia Lissu basi la SCANIA kutoka PHOTOSHOP, wakadai anakutana na bunge la Congress USA, Jana wameongopa tena April atakuwa ujerumani, Leo wameleta picha za 2012, ukiwauliza chanzo wanakasirika.CDM kwisha habari yao.
 
Kama wewe ulivyo amua kujifurahisha

In God we trust
ACT imeshawapiku sana. Kule Zanzibar CMD haitajapata mtu. Kule Kusini CDM haitajapata mtu. Kule Kanda ya Ziwa na Kigoma mnapukutika soon.
 
Kuna wana CCM ' makini ' na wale wana CCM ' Wapumbavu ' je hao waliohama unadhani watakuwa Kundi gani kati ya hayo Mawili? Siamini kama kuna mwana CCM anayejitambua na anaona kabisa Jembe, Shujaa na Jemedari wa kweli Mwenyekiti Taifa, Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli anafanya Kazi yake nzuri na ' tukuka ' kabisa tena inayoonekana na yenye kila dalili za Kutuletea Watanzania Maendeleo halafu akahama Chama na kwenda hivyo Vyama vya ' hovyo hovyo ' na vile vinavyoongozwa ndani ya Noah au Opa.
Mkuu usijisumbue muulize source ya habari yake.Hizi picha ni za 2012.Wameishiwa wameanza uongo uongo tu.
 
Hata wakiwa wapumbavu lkn ni Watanzania, hakuna nchi yenye watu waelevu wote.
 
Habari haijakaa vizuri hii. Nilidhani CCM wote Tarime wamekufa? Ni kawaida kudhania hivyo nikishavuta sigara zangu😂😂😂😂😂😂
 
ACT imeshawapiku sana. Kule Zanzibar CMD haitajapata mtu. Kule Kusini CDM haitajapata mtu. Kule Kanda ya Ziwa na Kigoma mnapukutika soon.
Weye unataka mapiku? Imekuwa karata uswazi? ACT na CDM ni wakinzani wote. Fahamu hilo.
 
Picha za miaka 7 iliyopita.

Kweli chadema mnavuta bangi wote wakubwa kwa wadogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jipe moyo. Hakuna kitu Jamii ya Wakurya wanakichukia kama kumchukua Mwanamke na kumsweka ndani na kumuacha mwanaume ahangaike na watoto. Ni bora umkamate mwanaume na kumsweka rumande hata kwa miaka ishirini lkn sio mwanamke kwa usiku mmoja. Aliyotendewa Ester Matiko majibu yake mtayapata huko kwa Wakurya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom