CCM yapata pigo Tarime

CCM yapata pigo Tarime

Watakwambia mbona China hakuna vyama vya upinzani[emoji16][emoji16][emoji16]
Siasa hizi za Ccm nazifananisha na Technology.

Technology ya simu ilishaingia kwenye jamii, huwezi kuwalazimisha watu watumie barua kuwasiliana.

Hata vyama vingi vilipoingia Tz, kwasasa huwezi kuua vyama vingi na kulazimisha watu wote kuwa chama Tawala.

Haitakuwepo tena na haitatokea Tz

Sent using Jamii Forums mobile app

In God we trust
 
Watu wanasepa na Wabunge nyinyi mnafurahi wanakijiji 100 baada ya kuwapa rushwa ya Pombe ya kienyeji 😀😀

Mbunge mmoja anayekwenda kumnyenyekea jiwe hana thamani ya wapiga kura 100 huru.
 
2020, jiwe na genge la wahuni la watu wasiyo julikana lazima waikimbie nchi.
 
Hivi mikusanyiko kwa wapinzani imeshaanza kuruhusiwa...

Nani aliyewapa kibali cha vikao/mikutano mpaka kupelekea watu kukihama chama...


Cc: mahondaw
 
Watakwambia mbona China hakuna vyama vya upinzani[emoji16][emoji16][emoji16]

In God we trust
China wananchi wananufaika na kodi zao,Hakuna upigaji, ufisadi, wala 10%,wala wasiojulikana kuwateka wananchi, maendeleo hadi vijijini,elimu,afya bure na bora upinzani watapinga nn maana hakipo kero za wachina zinatatuliwa
 
Back
Top Bottom