Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,200
Maswali makuu ambayo waandishi wanatakiwa kujibu ni matano hata utembee pembe gani ya dunia
Candid ScopeMaswali makuu ambayo waandishi wanatakiwa kujibu ni matano hata utembee pembe gani ya dunia
magamba kwisha habari yao hata campaign manager? kwa kauli ya nape kwamba wanaoondoka ni magamba wabajivua . Je kinana ni gamba ndani ya ccm?
Nimesoma posti weeee!
Lakini sijui ukweli ni upi na kiwanda ni kipi!
Candid Scope
Unazungumzia 5W+H?
Am sorry to say that hiyo ni OLD FASHION JOURNALISM!
Today's journalism concentrates on two main aspects, WHY AND HOW!
Hizo zinazobaki (WHO, WHAT, WHEN and WHERE) ni nyongeza tu na sio mambo ya msingi katika uandishi wa habari wa sasa. Journalism ya mwaka 1970s sio journalism ya 2000s mkuu
Candid Scope
Unazungumzia 5W+H?
Am sorry to say that hiyo ni OLD FASHION JOURNALISM!
Today's journalism concentrates on two main aspects, WHY AND HOW!
Hizo zinazobaki (WHO, WHAT, WHEN and WHERE) ni nyongeza tu na sio mambo ya msingi katika uandishi wa habari wa sasa. Journalism ya mwaka 1970s sio journalism ya 2000s mkuu
Unaweza kuniambia manufaa ya kubadili jina la kampuni wakati wa bankruptcy?Je Artumas ilipata manufaa gani kwa kufanya hivyo?Kinana is retiring, he is one of the smartest politician tanzania has, he is a go getter and a hands on man, very respected and he respects everybody. In his campaign he never utters a bad or cheap words.
Lets give him his over due respect in this forum.
Unaweza kuniambia manufaa ya kubadili jina la kampuni wakati wa bankruptcy?Je Artumas ilipata manufaa gani kwa kufanya hivyo?
Hakuna pahala wamedisclose kuwa the name changing was due to bankruptcy(yaweza kuwa sababu),nadhani sababu kubwa ni kuiregister kampuni huko cayman islands,fwatilia utajuwa.Bad credit hupambani nazo maana nikampuni mpya.
Kinana is retiring, he is one of the smartest politician tanzania has, he is a go getter and a hands on man, very respected and he respects everybody. In his campaign he never utters a bad or cheap words.
Lets give him his over due respect in this forum.
Mwandishi Wetu
Taarifa za kung'atuka kwa Kinana zimepokewa kwa maoni tofauti mjini Arusha ambapo kwa siku mbili mfululizo uamuzi huo ulikuwa mjadala wa kijamii kwa watu wa kada mbalimbali hasa wale waliowahi kufanya naye kazi.
Mmoja wa viongozi wa chama hicho aliyejitambulisha kuwa karibu naye aliliambia Raia Mwema kuwa kiongozi huyo anang'atuka kwa madai kuwa chama hicho tawala kimezidi kukosa mwelekeo baada ya kutafunwa na makundi kwa muda mrefu.
"Ndani ya CCM ya leo ahadi na misingi asilia ya chama vimepuuzwa na badala yake wanachama na viongozi wamekuwa wanaendekeza makundi na fitina za kisiasa ambazo zimeleta mgawanyiko mkubwa," alisema kada huyo.
Ngoja tumsubiri Nape aje atoe kanusho!