CCM yamwaga Mamilioni kuivaa CHADEMA; Watu wasombwa kwa malori

uzuri euro imeanza naombea mechi ya spain na italy iwe hiyo mida watu hawatacheki huo utumbo wa nyinyiem
 
Nape okoa jahazi hapa fery mbona wanatutoza nauli? Kwani hamjalipia. tutasusa sasa
 
Kama wanatumia malori polisi wa usalama barabarani wanatuchukua hatua gani huu si uvunjifu wa sheria za barabarani? hebu waache kushabikia CCM wachukue hatua
 
Tunaomba sana,wadau mliokaribu na mkutano msiache kutupa picha za magamba wakipandishwa na kushushwa kwenye malori na mabasi.
 
wao wanaletwa, sisi wanakuja wenyewe

Waulizeni viongozi wenu ruzuku wanapeleka wapi? Au ndio wanazotumia kujilipa posho na kujengea mahawala zao majumba? Chama kinashindwaje kuwabeba wachaga kutoka kimara hadi jangwani lakini kiweze kumpa mkataba wa kifisadi Josephine yule hawala wa Slaa?
 
Hata cdm si pia mnawalipa mamluki nani hajui ,,,,, kwa hiyo ngoma droo
CDM sio wasanii na pia hawana muda wa hivyo hatuwezi kutumia fedha ya wananchi wanayotuchangia kwa kufanyia mambo ya kipuuzi
 
ccm kwishineiiii.Baada ya kuwasomba wajaribu kuwachangusha fedha kama cdm walivyochangiwa mamilioni..Wajanja walioko ccm waimarishe biashara na kufungua ranchi mpya maana 2015 imefika!
 
Utu wa watu unanunuliwa kwa t shirt na kofia, kanga nazo ......
na ukiangalia sana hawa watakua wakwere wenzake ambao bado wanamuamini huyu kilaza, na pilao wasisahau jameni
 
Waulizeni viongozi wenu ruzuku wanapeleka wapi? Au ndio wanazotumia kujilipa posho na kujengea mahawala zao majumba? Chama kinashindwaje kuwabeba wachaga kutoka kimara hadi jangwani lakini kiweze kumpa mkataba wa kifisadi Josephine yule hawala wa Slaa?

Kwani hawabebani mi kwamacho yangu siku ya mkutano wa chadema jangwani wanakodi madaladala.sasa kunatofauti gani na CCM wakiamua kuwakodia magari wanachm wao tatizo ni nini kwani na kwani watt wanalazimishwa kupnda kwenye hayo magari si hiyari Yao wenyewe magwanda kinawauma nini watt wakienda jangwani si muwaache Kila Mtu na maamuzi yake
 
Utu wa watu unanunuliwa kwa t shirt na kofia, kanga nazo ......
na ukiangalia sana hawa watakua wakwere wenzake ambao bado wanamuamini huyu kilaza, na pilao wasisahau jameni

Kwaiyo watu wote wanaoishi dar ni wakwere!?kwani nyinyi kinawauma nini watu wakiamua kwenda jangwani ?kwani Leo ndi Mara ya kwanza CCM kufanya mkutano jangwani mbona mmeitengeneza Kama kitu cha ajabu Sana
 
Wakuu nimepita magomeni sehemu nafanya service gari yangu nimezipata hapa nyepesi nyepesi kwamba zimechapishwa kadi nyingi sana zinazofanana na za CHADEMA zimegawiwa kwa watu kibao, wakati wa Mkutano wa CCM leo hao watu watajifanya ni wanachama wa CHADEMA waliochoka na udini na ukabila ndani ya CHADEMA hivyo wameamua kujiunga na CCM. Subirini mtaona hiki kituko baadaye.

Hii iliwauma eh!!
 
Attachments

  • M4C Dar9[4].jpg
    M4C Dar9[4].jpg
    38 KB · Views: 46
Ukidhani kwa kuvaa ngozi ya kondoo chui atakuwa amejificha ni kupoteza, fedha, muda na kujidhalilisha zaidi.

Binadamu sio wanyama wanaakili, wanautashi wanajaji na wanatathimini kisha wanatoa maamuzi.

Kufanya hivyo itakuwa ujinga mkubwa na itaongeza chuki zaidi na kuwaimarisha zaid wapinzani. Wenyeakili zao wataihama zaidi ccm na mwisho wasiku wataanza kushikana uchawi wao kwa wenyewe.

Ili kurudisha matumaini kwa watanzania ccm iachane na mapacha watu, ikamate na kuwafunga mapapa wa EPA, Rada, IPTL, Deeep green, Kagoda nk..
Iimarishe huduma za kijamii, elimu, afya na maslah ya wafanyakazi.

Iachane na sera za divide and rule kwa maana ya udini, ukabila,ukanda nk.

Lakini nani atathubutu ndan ya ccm... ukitoa kichwa unaliwa.
 
Waulizeni viongozi wenu ruzuku wanapeleka wapi? Au ndio wanazotumia kujilipa posho na kujengea mahawala zao majumba? Chama kinashindwaje kuwabeba wachaga kutoka kimara hadi jangwani lakini kiweze kumpa mkataba wa kifisadi Josephine yule hawala wa Slaa?

Wivu hujengi, jadili hoja alosema daktari wa kweli sio wenu wa kuchovya. Pole sana kwa unyonge njaa ulokujaa, yaelekea hujitambui kwa fikra wapelekwa pelekwa. Wananchi wanateseka na ugumu wa maisha toka ubovu wa nyinyiemu, uwongo wenu una mwisho na hapo mtalia sana na kusaga meno pana siku, saa na eneo mtakapojua dhuruma hailipi.
 
Back
Top Bottom