Mathias Lyamunda
JF-Expert Member
- Apr 4, 2013
- 1,369
- 559
CCM nao huwa wanafukuza watu uanachama hebu fukuzeni Lowassa anavuruga chama hahahaaa
TAARIFA MUHIMU:
Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Magharibi Unguja kupitia kikao chake kilichomalizika muda huu Kimemvua Uanachama wa C.C.M Mzee HASSAN NASSOR MOYO na hivyo kuanzia sasa Mzee Moyo si mwanachama tena wa Chama Cha Mapinduzi.
![]()
Hassan Nassor Moyo
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Mchaga usiyekuwa na thamani kwa jamii jitambue hata kidogo basi.Du amevuliwa na katiba mavi ya Sitta????
Haya ndio nayoyasema kila siku kwamba vyama vya siasa nchini vimekuwa vina wenyewe. Yaani kweli Mzee Nossor Moyo wa kuvuliwa uanachama? kwa kosa gani maana kama ingelikuwa hakubaliani na Mapinduzi au Muungano basi wengi wangekoma Uanachama. Halafu mzee wa watu kisha jistaafia hana madhara yoyote zaidi ya kwamba hufuatwa kwa Hekima na busraa zake juu ya utawala na pengine maoni yake juu ya maswala.
Binadamu wote hatuwezi fikiria sawa, na fikra zamtu haziwezi kuitwa kosa ikiwa si hatarishi kwa Usalama wa wananchi wake. Wazo ni wazo tu hata kama limetoka na sintoelewa ya Muungano na muundo wa serikali. Mimi nadhani ile kauli yake ya mwisho aliposema kwamba Alifuatwa kuwezesha kubadilisha matokeo ya Ushindi wa CUF Zanzibar 2010 ndiyo ilomponza.. Na kama kuna ukweli hapo tena najivua.....
Huyu mzee SI ndie aliyetumika kumchafua Dr.Salim 2005 kwamba Salim sio mTZ na alikuwa mmoja katika mauwaji ya mzee Karume?imekuwaje Leo thamani yake imeisha?TAARIFA MUHIMU:
Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Magharibi Unguja kupitia kikao chake kilichomalizika muda huu Kimemvua Uanachama wa C.C.M Mzee HASSAN NASSOR MOYO na hivyo kuanzia sasa Mzee Moyo si mwanachama tena wa Chama Cha Mapinduzi.
![]()
Hassan Nassor Moyo
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Mzee huyu ana mambo mengi sana maana alikuwa akitumiwa ku penetrate ngome za UMMA party na hata kuwatonya ASP yaliyopo upande ule. Majuzi tu kasema mwenye we ndiye kamfanya Seif Hamad akubali kushindwa uchaguzi wa 2010. Pamoja na unafiki wake lakini kiukweli he was working for the party na kwa manufaa ya CCM au ASP miaka yote leo hii wa kumwagwa!..Huyu mzee SI ndie aliyetumika kumchafua Dr.Salim 2005 kwamba Salim sio mTZ na alikuwa mmoja katika mauwaji ya mzee Karume?imekuwaje Leo thamani yake imeisha?
Democracy at work!!!!!!!!!!!!!.
Lowasa jiandae
Kusema kweli kumfuta huyu mzee uanachama si sahihi. Hawa ni baadhi ya hazina za nchi hii. Nadahani waandishi wa historia wamfuate watuandikie historia sahihi ya Muungano na mambo mengine yanayohusu nchi hii hususan zanzibarMzee huyu ana mambo mengi sana maana alikuwa akitumiwa ku penetrate ngome za UMMA party na hata kuwatonya ASP yaliyopo upande ule. Majuzi tu kasema mwenye we ndiye kamfanya Seif Hamad akubali kushindwa uchaguzi wa 2010. Pamoja na unafiki wake lakini kiukweli he was working for the party na kwa manufaa ya CCM au ASP miaka yote leo hii wa kumwagwa!..
Mchaga usiyekuwa na thamani kwa jamii jitambue hata kidogo basi.
Mbona siku zote wanafukuza wanachama wa upande mmoja tu wa visiwani? Kwanini hawawafukuzi wa huku Bara kama kina chenge wanaojiita nyoka wa makengeza msaka fedha?