KASHOROBANA
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,241
- 964
Jifunzeni siasa...CCM hatumzungumzii tena Mansour wala hatutamzungumzia tena Mzee Moyo, enzi yao ndani ya CCM imekwisha..tulikuwa nao tukijenga Chama pamoja nao, tumethamini na kujali mchango wao hata leo ila kwa makosa ambayo KANUNI ziko wazi leo sio wanachama wenzetu ndani ya CCM lakini hawawi tena hoja kwetu.
ivi nyie ccm mnajenga chama au mnashindana kuigawana nchi kwa u roho. wizi na ufisadi wenu wa kuimaliza nchi hii