The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,861
- 18,710
Hao hawawawezi ndiyo maana maana wanawatumia watu kama akina Anaconda kuwatutkana hadharani.
laana ya kuwapuuza wazee haitowaacha , hivi kuna wa kumvua uanachama mwadilifu kama mzee moyo ndani ya ccm hii ? yaani chenge na lowasa ni bora kuliko mzee moyo ? unajua bhana kuna mambo ccm inatenda hata shetani ameshika kiuno kwa bumbuwazi !

Mzee Hassan alikuwa na cheo gani, tukumbushane wakuu.
Kweli kunakufukuzana lakini kumfukuza Hassan Nassoro Moyo hapo wamefukuza msingi wa chama
hivi Kangi Lugola bado ni mwanachama wa SISIEM??? mana mitazamo yake hatofautiana na huyu mzee Nassoro Moyo
Babu yako akikukosoa hadharani, kaa chini na kujiuliza ni kwanini kafanya hivyo!!? Au muulize. Kuihamisha familia yako kwenye ukoo wake ni kujimaliza. Aliekutangulia kakutangulia tu...
Jifunzeni siasa...CCM hatumzungumzii tena Mansour wala hatutamzungumzia tena Mzee Moyo, enzi yao ndani ya CCM imekwisha..tulikuwa nao tukijenga Chama pamoja nao, tumethamini na kujali mchango wao hata leo ila kwa makosa ambayo KANUNI ziko wazi leo sio wanachama wenzetu ndani ya CCM lakini hawawi tena hoja kwetu.