CCM yamvua Uanachama Mzee Hassan Nassor Moyo

CCM yamvua Uanachama Mzee Hassan Nassor Moyo

Na Warioba lini mtamvua uanachama?ma INTARAHAMWE ccm usipokubaliana nao ktk upuuzi wanakufukuza uanachama
 
Ila Kanuni zenu haziko wazi inapokuja kwenye kuwavua uanachama wezi, mafisadi, wala rushwa akina Chenge, Tibaijuka, Ngeleja, Mkapa na wengineo chungu nzima. Hao mtaendelea kuwakumbatia kadri mtakavyoweza, wa kufukuzwa ni wale wasema kweli.

Jifunzeni siasa...CCM hatumzungumzii tena Mansour wala hatutamzungumzia tena Mzee Moyo, enzi yao ndani ya CCM imekwisha..tulikuwa nao tukijenga Chama pamoja nao, tumethamini na kujali mchango wao hata leo ila kwa makosa ambayo KANUNI ziko wazi leo sio wanachama wenzetu ndani ya CCM lakini hawawi tena hoja kwetu.
 
Taarifa zote zitatolewa katika taarifa rasmi ya Chama kuhusu kuvuliwa uanachama Ndg Hassan Nassor Moyo.
images

​

CCM...kambi ya wezi, wanafiki na waongo! Mzee Hassan Nassor Moyo anavuliwa uanachama, Andrew Chenge, nyoka wa makengeza, anapewa heshima ya kuandika katiba mpya.
 
wameshaanza kufukuzana safi sana ccm huu mwaka mgumu kwenu mbona hamjasema amefukuzwa kwa kosa gani .
 
Mzee Moyo atabaki kusema ukweli juu ya magumashi ya muungano! Maccm mumechakachua katiba wapuuzi ninyi!! Wavueni pia Warioba, Butiku na Karume Amani! Wehu wakubwa ninyi!!
Hao wanawaogopa,kuna double standard kubwa sana ndani maamuzi ya ccm,ccm wanafiki wakubwa TandaleOne MwanaDiwani Nape Nnauye mtu mmoja ana id 3
 
Last edited by a moderator:
sioni kama kuna athari yoyote au kuna kitu atakosa mzee moyo kwa kutokua tena mwanachama tena wa ccm
 
TAARIFA MUHIMU:

Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Magharibi Unguja kupitia kikao chake kilichomalizika muda huu Kimemvua Uanachama wa C.C.M Mzee HASSAN NASSOR MOYO na hivyo kuanzia sasa Mzee Moyo si mwanachama tena wa Chama Cha Mapinduzi.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

Wakati mnawavua mnashangilia lakin baadae wanaktwa mwibakwenu na kuwaletea chuki za kitoto
 
Hii CCM ikoje ina maana kuna CCM mbili?CCM Zanzibar na CCM Tanganyika?na kwamba CCM Zanzibar ndio inameno ya kung'ata na CCM Tanganyika ni kama kibogoyo?.

Tanganyika ndiko kumejaa wana CCM wengi sana wanaokwenda tofauti na maadili ya chama lakini wengi wao hawachukuliwi hatua zozote, hata pale ambapo hatua zimekuwa zikichukuliwa zimekuwa zinawahusu wale vidagaa, huku wakiachwa mapapa wakiogelea wapendavyo.

Lakini upande wa Zanzibar ina onekana wana CCM wa huko hawana uhuru wa kutoa mawazo yao hadharani na wanapo jaribu kufanya hivyo chama kinawazima mapema.
 
TAARIFA MUHIMU:

Halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Mkoa wa Magharibi Unguja kupitia kikao chake kilichomalizika muda huu Kimemvua Uanachama wa C.C.M Mzee HASSAN NASSOR MOYO na hivyo kuanzia sasa Mzee Moyo si mwanachama tena wa Chama Cha Mapinduzi.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.

Wanzibar na wapenda haki wote tunamtakia kila la heri mzee wetu HASSAN NASSORO MOYO, sioni kwa umri alionao kama kuna kitu amebakisha, ccm umewakataa(sio wamekukataa) Wazanzibar na wapenda haki tunakuitaji na tunaitaji busara zako
 
Back
Top Bottom