CCM yamponza Babu Seya

Acha uongo wewe.
Kwa habari nilizo nazo, Nguza ameacha muziki kabisa.

Kama wewe ni mkweli hebu tupe kumbi alizopiga na tarehe zake.
Njia ya mwongo ni fupi
mbona ccm inamtumia ?
 
Kwa hali ya siasa iliyopo asahiv,ni bora alivyojiweka hukohuko chama tawala Maana angekuwa upinzani angekuwa na wakati mgumu zaidi,kama viongozi Wa upinzani tu wenyewe wana wakati mgumu yeye angekuwaje
 
Angefukuzwa nchini, umesahau ya marehemu wa Matimila!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…