CCM yamponza Babu Seya

Yaani huyo mungu wenu mnamchezea mtakavyo. Mpaka kwenye mambo ya kipuuzi. Hivi kwanini mnajiona ninyi ni watakatifu sana? Mmesahau tunaishi wote mitaani na tunajuana
 
Yaani huyo mungu wenu mnamchezea mtakavyo. Mpaka kwenye mambo ya kipuuzi. Hivi kwanini mnajiona ninyi ni watakatifu sana? Mmesahau tunaishi wote mitaani na tunajuana
Ukifuata maandiko huna haja ya kuhofia , Mungu kishaweka wazi kwamba kushirikiana na shetani ni marufuku
 
Nimesoma na nimekuelewa kuwa umeandika kwa hasira na itakuwa vigumu kueleweka mkuu.
 
Watafute shughuli ingine ya kufanya. Since then, mziki umebadilika sana...
 
Sasa ulitaka aendelee kusota jela au?
 
Nini kifanyike?
 
Huyu bwege alipokua gerezani aliwahi kusema. kama itatokea aachiwe huru basi ataimba nyimbo za kumtukuza Mungu tu. lkn kwasababu ana laana ya matendo yale. alipotoka tu alianza kutukuza watu
 
Kuna msanii anayejitambulisha kama mwanachadema amepata mafanikio?

Diamond na Kiba waliimba kwenye kampeni za CCM na wanakiki ile mbaya!
Wanakiki kwa wenzao wa ccm, kijana mjanja wa cdm hawezi
 
Acha uongo wewe.
Kwa habari nilizo nazo, Nguza ameacha muziki kabisa.

Kama wewe ni mkweli hebu tupe kumbi alizopiga na tarehe zake.
Njia ya mwongo ni fupi
 
Ndizo hoja walizonazo vijana wenzetu kutoka bavicha
 
Kuna uzi ulishaletwa humu ndani yahusu wasanii waliyoshirikiana na CCM baada ya hapo wakapotea kabisa kwenye gemu mpaka leo hawasikiki tena...


Cc: mahondaw
 
Kuna uzi ulishaletwa humu ndani yahusu wasanii waliyoshirikiana na CCM baada ya hapo wakapotea kabisa kwenye gemu mpaka leo hawasikiki tena...


Cc: mahondaw
Vipi Diamond na Ali Kiba hawasikiki tena au?? Acha kulishwa matango na huyo dada a.k.a vuvuzela!!
 
Mm huwa namchukulia mleta mada kama ni mtoto ambae anaweza kuibuka mda wowote na kuanza kulia!

Babu Seya hilo la kutoka tu gerezani nafikiri ni kubwa kuliko hata huo muziki.

Mleta mada acha tabia za kike!
 
Hata waimbe namna gani hawawezi kutoboa, laana ya ulawiti itaendelea kuwaandama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…