Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,344
- 289,405
si lazima kutunga hata show ya zile za zamani hawezi kupata watu hata akipiga bure .Tangu watoke jela walitunga nyimbo zipi? Maana isijekuwa tunamlaumu dobi kwa kutoitakatisha kaniki!
Wamerekodi nyimbo mbili chini ya WANENE ENTERTAINMENT na iliyotoka ni moja ikapewa promo na serikari kupitia naibu waziri juliana shonza haikufanya vizuri kabisaTangu watoke jela walitunga nyimbo zipi? Maana isijekuwa tunamlaumu dobi kwa kutoitakatisha kaniki!
Umri nao umewatupa, usitegemee kurudi haraka hivyo kwenye game tasniasi lazima kutunga hata show ya zile za zamani hawezi kupata watu hata akipiga bure .
Shonza kitambo sijamsikia... Labda ameshajifunguaWamerekodi nyimbo mbili chini ya WANENE ENTERTAINMENT na iliyotoka ni moja ikapewa promo na serikari kupitia naibu waziri juliana shonza haikufanya vizuri kabisa
Alikuepo mliman city kwenye birthday ya Tanzania sweetheart😂😂Shonza kitambo sijamsikia... Labda ameshajifungua
lengo letu ni kuweka fundisho kwamba Shetani hana rafiki .[emoji845] [emoji845] [emoji845] [emoji845] [emoji845]
jikite kwenye mada mkuu acha kuweweseka .Kuna msanii anayejitambulisha kama mwanachadema amepata mafanikio?
Mkuu Sina nyongeza maana umesema vile akili yako imekutuma na umeyawaza na kuwazualengo letu ni kuweka fundisho kwamba Shetani hana rafiki .
Labda pia si laana, bali umri umemtupa mkono na ushindani mkubwa na kupotea kwa muziki wa dansi nchini akaamua ajiegeme CCM kama mwanamuziki wa chama ili mkono uende kinywani!Kwenye vitabu vyote vitakatifu Mwovu Shetani ametajwa kama adui wa hatari ambaye anapaswa kupigwa vita muda wote na kila mtu mwenye kumheshimu Mungu .
Baada ya kupata Msamaha wa Rais kutoka kwenye kifungo cha milele Ndugu Nguza Vicking akajisahau na kudhani kwamba msamaha ule ulikuwa umeletwa na wanadamu kiasi cha kumsahau Mungu wake na kuanza kuabudu chama cha siasa kiitwacho ccm , akajimilikisha uanachama na kuchukua nafasi ya Marehemu Komba ya kuburudisha wanachama , ( AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU )
Uchunguzi nilioufanya ni kwamba Nguza sasa amesahaulika kwenye ulimwengu wa Music hata afanyeje , kitendo cha kujiegemeza ccm iwe kwa kulazimishwa au kwa hiyari yake , chama kinacholaaniwa kwa kila hujuma na dhuluma dhidi ya binadamu ni sawa na kujirudisha jela kimuziki .
Kabla ya uamuzi wake Nguza na wanawe walitakiwa kufikiria na kujiuliza mahali ikopotelea Bendi ya TOT , Kwa msanii yeyote kuiunga mkono ccm ni sawa na kuunga mkono dhuluma na unyama unaotendwa , haina tofauti na kujizika ukiwa hai .
Umeshaanza kuiona mada chungu?jikite kwenye mada mkuu acha kuweweseka .
Wakikujibu swali hili vizuri mi naandamana peke yanguKuna msanii anayejitambulisha kama mwanachadema amepata mafanikio?
si lazima kutunga hata show ya zile za zamani hawezi kupata watu hata akipiga bure .
Jamani gemu ya muziki kwa sasa ni ngumu sana ukilinganisha na miaka ile kabla hawajafungwa. Sasa hivi ili watoboe inawabidi wafanye kitu cha ziada vinginevyo watapotea kabisa kwenye tasnia hii ya muziki!Wamerekodi nyimbo mbili chini ya WANENE ENTERTAINMENT na iliyotoka ni moja ikapewa promo na serikari kupitia naibu waziri juliana shonza haikufanya vizuri kabisa
Dah...umejuwaje? [emoji15]si lazima kutunga hata show ya zile za zamani hawezi kupata watu hata akipiga bure .
The legendary himself PROFESSOR JAYWakikujibu swali hili vizuri mi naandamana peke yangu
J hata akipiga chafya tu nchi nzima inashangilia , usicheze na chadema mkuuThe legendary himself PROFESSOR JAY