CCM yalaani shambulio dhidi ya Padre Dkt. Charles Kitima

YAH: KULAANI SHAMBULIO DHIDI YA PADRE DKT. CHARLES KITIMA

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, tukio lililotokea usiku wa Aprili 30, 2025, katika eneo la Kurasini, Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa taarifa zilizoripotiwa, Padre Kitima alivamiwa na watu wawili wasiojulikana na kushambuliwa kwa kitu butu kichwani na mwilini na kusababisha majeraha mbalimbali.

Tunaungana na taarifa iliyotolewa awali na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira kulaani vikali kitendo hiki cha kikatili na kisicho na utu dhidi ya kiongozi wa dini ambaye amejitolea maisha yake kuhudumia jamii kwa upendo na uadilifu.

Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Chama kinatoa wito kwa vyombo vya usalama kufanya uchunguzi wa kina na wa haraka ili kuwabaini na kuwachukulia hatua kali wahusika wa tukio hili. Aidha, CCM inatoa pole kwa Padre Dkt. Charles Kitima, familia yake, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, na waumini wote wa Kanisa Katoliki kwa mshtuko na maumivu yaliyosababishwa na tukio hili.

Tunamuombea Padre Kitima uponaji wa haraka na kurejea katika majukumu yake ya kiroho na kijamii.

CCM itaendelea kushirikiana na taasisi zote za dini katika kujenga taifa lenye kulinda na kuendeleza misingi ya amani, umoja wa kitaifa, mshikamano, heshima na linaloheshimu haki za binadamu.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi
KATIBU MKUU
1/05/2025

View attachment 3322096
Haki ingekuwa sii neno linaloogopwa,na amani kuwa neno tamu,tusinge fika kote huku,na iwapo haitakuwepo dhamira ya dhati,ya kupatikana haki kweli kweli,ili ilete amani kweli kweli,uhuru kweli kweli ,uwazi kweli kweli,uwajibikaji kweli kweli,amini au usiamini,sudani,iwe kusini ama kaskazini,iliyokuwa Rwanda ya 1994 au Burundi ya wakati huo ama Kongo ya leo ama kwingineko kwenye kiu ya haki .Sisi hatuna kinga dhidi ya haya yote.Mtanzania amka kutoka usingizini,vinginevyo utaamka kwa lazima muda sahihi ukifika.
 
YAH: KULAANI SHAMBULIO DHIDI YA PADRE DKT. CHARLES KITIMA

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, tukio lililotokea usiku wa Aprili 30, 2025, katika eneo la Kurasini, Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa taarifa zilizoripotiwa, Padre Kitima alivamiwa na watu wawili wasiojulikana na kushambuliwa kwa kitu butu kichwani na mwilini na kusababisha majeraha mbalimbali.

Tunaungana na taarifa iliyotolewa awali na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira kulaani vikali kitendo hiki cha kikatili na kisicho na utu dhidi ya kiongozi wa dini ambaye amejitolea maisha yake kuhudumia jamii kwa upendo na uadilifu.

Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Chama kinatoa wito kwa vyombo vya usalama kufanya uchunguzi wa kina na wa haraka ili kuwabaini na kuwachukulia hatua kali wahusika wa tukio hili. Aidha, CCM inatoa pole kwa Padre Dkt. Charles Kitima, familia yake, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, na waumini wote wa Kanisa Katoliki kwa mshtuko na maumivu yaliyosababishwa na tukio hili.

Tunamuombea Padre Kitima uponaji wa haraka na kurejea katika majukumu yake ya kiroho na kijamii.

CCM itaendelea kushirikiana na taasisi zote za dini katika kujenga taifa lenye kulinda na kuendeleza misingi ya amani, umoja wa kitaifa, mshikamano, heshima na linaloheshimu haki za binadamu.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi
KATIBU MKUU
1/05/2025

View attachment 3322096
Mbona hamkulaani Chadema walivyopigwa na zaidi ya hapo huyu kashambuliwa chini ya sirikali inayoongoxwa na Nani
 
Waache unafiki raisi si wa kwao,dola sisi tuna Mungu
 
YAH: KULAANI SHAMBULIO DHIDI YA PADRE DKT. CHARLES KITIMA

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, tukio lililotokea usiku wa Aprili 30, 2025, katika eneo la Kurasini, Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa taarifa zilizoripotiwa, Padre Kitima alivamiwa na watu wawili wasiojulikana na kushambuliwa kwa kitu butu kichwani na mwilini na kusababisha majeraha mbalimbali.

Tunaungana na taarifa iliyotolewa awali na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira kulaani vikali kitendo hiki cha kikatili na kisicho na utu dhidi ya kiongozi wa dini ambaye amejitolea maisha yake kuhudumia jamii kwa upendo na uadilifu.

Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Chama kinatoa wito kwa vyombo vya usalama kufanya uchunguzi wa kina na wa haraka ili kuwabaini na kuwachukulia hatua kali wahusika wa tukio hili. Aidha, CCM inatoa pole kwa Padre Dkt. Charles Kitima, familia yake, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, na waumini wote wa Kanisa Katoliki kwa mshtuko na maumivu yaliyosababishwa na tukio hili.

Tunamuombea Padre Kitima uponaji wa haraka na kurejea katika majukumu yake ya kiroho na kijamii.

CCM itaendelea kushirikiana na taasisi zote za dini katika kujenga taifa lenye kulinda na kuendeleza misingi ya amani, umoja wa kitaifa, mshikamano, heshima na linaloheshimu haki za binadamu.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi
KATIBU MKUU
1/05/2025

View attachment 3322096

Loh! Ajabu kweli. Leo kwa mara ya kwanza, Nchimbi ametamka neno HAKI!!

CCM kweli wanahifaji uchunguzi kumfahamu aliyemshambulia Fr Kitima? Kwani hawawajui wanaowateka, kuwaua na kuwatesa wanaomkosoa Rais na Serikali yake? Kwani hawawajui ambao juzi waliwakamata watu walioenda mahakamani kusikiliza kesi, wakawapiga na kwenda kuwatupa porini.

CCM msidhani watanzania hawana akili. Kama kuna kiongozi wa CCM kweli hajui waliomshambulia FR Kitima, akamwone Samia, halafu Samia amwambie Muliro kuwa niletee majina ya walioenda kumshambukia Fr. Kitima, hakika haitapita hata nusu saa atakuwa amepewa majina yao.
 
YAH: KULAANI SHAMBULIO DHIDI YA PADRE DKT. CHARLES KITIMA

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, tukio lililotokea usiku wa Aprili 30, 2025, katika eneo la Kurasini, Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa taarifa zilizoripotiwa, Padre Kitima alivamiwa na watu wawili wasiojulikana na kushambuliwa kwa kitu butu kichwani na mwilini na kusababisha majeraha mbalimbali.

Tunaungana na taarifa iliyotolewa awali na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira kulaani vikali kitendo hiki cha kikatili na kisicho na utu dhidi ya kiongozi wa dini ambaye amejitolea maisha yake kuhudumia jamii kwa upendo na uadilifu.

Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Chama kinatoa wito kwa vyombo vya usalama kufanya uchunguzi wa kina na wa haraka ili kuwabaini na kuwachukulia hatua kali wahusika wa tukio hili. Aidha, CCM inatoa pole kwa Padre Dkt. Charles Kitima, familia yake, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, na waumini wote wa Kanisa Katoliki kwa mshtuko na maumivu yaliyosababishwa na tukio hili.

Tunamuombea Padre Kitima uponaji wa haraka na kurejea katika majukumu yake ya kiroho na kijamii.

CCM itaendelea kushirikiana na taasisi zote za dini katika kujenga taifa lenye kulinda na kuendeleza misingi ya amani, umoja wa kitaifa, mshikamano, heshima na linaloheshimu haki za binadamu.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi
KATIBU MKUU
1/05/2025

View attachment 3322096
Chama cha majambazi, Serikali ya majambazi. Historically, hakuna kitendawili cha shambulio lililofanywa na majambazi wa Serikali ambacho kimewahi kuwa solved. Labda kazi hiyo ifanywe na foreign investigators!
 
YAH: KULAANI SHAMBULIO DHIDI YA PADRE DKT. CHARLES KITIMA

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, tukio lililotokea usiku wa Aprili 30, 2025, katika eneo la Kurasini, Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa taarifa zilizoripotiwa, Padre Kitima alivamiwa na watu wawili wasiojulikana na kushambuliwa kwa kitu butu kichwani na mwilini na kusababisha majeraha mbalimbali.

Tunaungana na taarifa iliyotolewa awali na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira kulaani vikali kitendo hiki cha kikatili na kisicho na utu dhidi ya kiongozi wa dini ambaye amejitolea maisha yake kuhudumia jamii kwa upendo na uadilifu.

Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Chama kinatoa wito kwa vyombo vya usalama kufanya uchunguzi wa kina na wa haraka ili kuwabaini na kuwachukulia hatua kali wahusika wa tukio hili. Aidha, CCM inatoa pole kwa Padre Dkt. Charles Kitima, familia yake, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, na waumini wote wa Kanisa Katoliki kwa mshtuko na maumivu yaliyosababishwa na tukio hili.

Tunamuombea Padre Kitima uponaji wa haraka na kurejea katika majukumu yake ya kiroho na kijamii.

CCM itaendelea kushirikiana na taasisi zote za dini katika kujenga taifa lenye kulinda na kuendeleza misingi ya amani, umoja wa kitaifa, mshikamano, heshima na linaloheshimu haki za binadamu.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi
KATIBU MKUU
1/05/2025

View attachment 3322096
Wanazuga, lakini wanajua watekelezaji ni akina nani, na wanajua shambulio hilo lina faida kwao, kwani huenda likawatia uoga wadai haki.
 
Unafiki mtu
 
Tunaposema CCM ni chama Cha majambazi muwe mnatuelewa.natabiri huyu mama kuchezea watumishi wa Mungu.mbingu hazitamwacha amalize muhula unaofuata.kwa Sheria za sisi waislamu ni haramu kuongozwa na mwanamke.mama akae pembeni.na ninyi polisi mnajitafutia laana bure.mwangalieni mahita anavyochoka vibaya.
 
YAH: KULAANI SHAMBULIO DHIDI YA PADRE DKT. CHARLES KITIMA

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, tukio lililotokea usiku wa Aprili 30, 2025, katika eneo la Kurasini, Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa taarifa zilizoripotiwa, Padre Kitima alivamiwa na watu wawili wasiojulikana na kushambuliwa kwa kitu butu kichwani na mwilini na kusababisha majeraha mbalimbali.

Tunaungana na taarifa iliyotolewa awali na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira kulaani vikali kitendo hiki cha kikatili na kisicho na utu dhidi ya kiongozi wa dini ambaye amejitolea maisha yake kuhudumia jamii kwa upendo na uadilifu.

Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Chama kinatoa wito kwa vyombo vya usalama kufanya uchunguzi wa kina na wa haraka ili kuwabaini na kuwachukulia hatua kali wahusika wa tukio hili. Aidha, CCM inatoa pole kwa Padre Dkt. Charles Kitima, familia yake, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, na waumini wote wa Kanisa Katoliki kwa mshtuko na maumivu yaliyosababishwa na tukio hili.

Tunamuombea Padre Kitima uponaji wa haraka na kurejea katika majukumu yake ya kiroho na kijamii.

CCM itaendelea kushirikiana na taasisi zote za dini katika kujenga taifa lenye kulinda na kuendeleza misingi ya amani, umoja wa kitaifa, mshikamano, heshima na linaloheshimu haki za binadamu.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi
KATIBU MKUU
1/05/2025

View attachment 3322096

Vituko tu si hawa hawa ndiyo waliwapiga Chadema juzi leo ndiyo wame shutuka. Huyu ni mama wa matamko
 
Back
Top Bottom