Interested Observer
Platinum Member
- Mar 27, 2006
- 4,931
- 7,762
Halafu wanasema “wasiojulikana”. Hili neno ndiyo wamelizoea.Waache kujifanyaa ,Leo ndo wanajua kulaani?? Wlaishindwa kulaani ya LISSU, Mzee Kibao ? Akina Soka ? Majuzi CHADEMA wametekwa, wamepigwa ??.
Wameingia kwenye Vita ya RC, ngoja Sasa wafahamu kua RC ni DINI na NCHi .