CCM yalaani shambulio dhidi ya Padre Dkt. Charles Kitima

YAH: KULAANI SHAMBULIO DHIDI YA PADRE DKT. CHARLES KITIMA

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, tukio lililotokea usiku wa Aprili 30, 2025, katika eneo la Kurasini, Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa taarifa zilizoripotiwa, Padre Kitima alivamiwa na watu wawili wasiojulikana na kushambuliwa kwa kitu butu kichwani na mwilini na kusababisha majeraha mbalimbali.

Tunaungana na taarifa iliyotolewa awali na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira kulaani vikali kitendo hiki cha kikatili na kisicho na utu dhidi ya kiongozi wa dini ambaye amejitolea maisha yake kuhudumia jamii kwa upendo na uadilifu.

Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Chama kinatoa wito kwa vyombo vya usalama kufanya uchunguzi wa kina na wa haraka ili kuwabaini na kuwachukulia hatua kali wahusika wa tukio hili. Aidha, CCM inatoa pole kwa Padre Dkt. Charles Kitima, familia yake, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, na waumini wote wa Kanisa Katoliki kwa mshtuko na maumivu yaliyosababishwa na tukio hili.

Tunamuombea Padre Kitima uponaji wa haraka na kurejea katika majukumu yake ya kiroho na kijamii.

CCM itaendelea kushirikiana na taasisi zote za dini katika kujenga taifa lenye kulinda na kuendeleza misingi ya amani, umoja wa kitaifa, mshikamano, heshima na linaloheshimu haki za binadamu.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi
KATIBU MKUU
1/05/2025

View attachment 3322096
wachawi wanalia sana msibani mae
 
Wauaji wana laani jambo lao. WTF
 
Ccm mlitakiwa mseme CCM yajilaani tukio la kushambuliwa Padre Kitima
 
Attachments

  • FB_IMG_1746127186136.jpg
    FB_IMG_1746127186136.jpg
    32.3 KB · Views: 14
CCM kupitia katibu mkuu wa chama imetoa tamko rasmi kulaani shambulio dhidi ya Padre Kitima.
IMG-20250501-WA0099.jpg
 
Uchunguzi gani wakati aliyeyoa baraka kwa shambulio hilo, ni Bashungwa!

Soma habari kamili hapa:

Wakati wa sherehe za Idd, mwezi uliopita, hotuba ya Rais Samia ilijaa shutuma dhidi ya viongozi wa dini. Alisema: “mchelea mwana kulia hulia yeye.”

Hotuba hiyo sasa inasambazwa mitandaoni, na baadhi ya watu wanaitumia katika muktadha wa shambulio dhidi ya Padre Charles Kitima lililofanyika jana Kurasini, Dar es Salaam. Fuatilia maelezo haya.

Fr. Kitima, katibu mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), ameshambuliwa siku ambayo TEC ilikuwa na kikao na viongozi wa juu wa BAKWATA, TEC na CCT. Kikao hicho kilikuwa na mpango wa kumwona Rais Samia ili kuzungumzia hali ya nchi kuelekea uchaguzi mkuu.

Taarifa zinasema kuwa mmoja wa washiriki wa kikao hicho alisaliti wenzake, akatoa taarifa kwa afisa usalama mmoja (ambaye ametamvuliwa kwa jina la Kayombo). Ndipo watu wakatumiwa kufuatilia mambo haya huko TEC Kurasini, ambako Fr. Kitima alivamiwa.

Wakati kikao cha TEC kinaendelea, maafisa wawili wa usalama – (Kayombo na Mkude) – walitumwa na mkuu wao (ajulikanaye kama Fadhili) kukutana na Waziri innocent Bashungwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Baada ya kikao hicho, Bashungwa alitoa tamko akitaka polisi washughulikie “matishio” yote bila woga.

Fr. Kitima aliwekwa kwenye orodha ya watu wanaotajwa kuwa “hatari kwa amani ya nchi.”

Rev. Fr. Dr. Charles Kitima
Mwaka jana mwanzoni, afisa mmoja aliyedaiwa kutoka Ikulu, alimwendea mmoja wa wakuu wa TEC akamwambia kuwa Rais Samia amemtuma aiombe TEC imwondoe Fr Kitima kwenye nafasi yake ili maridhiano kati ya TEC na serikali yaweze kukamilika.

Mkuu huyo wa TEC alifikisha ujumbe kwa maaskofu. Walichukia sana na kuamua kumbakiza Fr. Kitima kwa kipindi kingine.

Chanzo: SAUTI KUBWA
 
Wachawi wamejitokeza kwa wingi kulaani ulozi walioufanya. Nadhani wamekosea timing, wanaona kama wameumbuka.
 
YAH: KULAANI SHAMBULIO DHIDI YA PADRE DKT. CHARLES KITIMA

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, tukio lililotokea usiku wa Aprili 30, 2025, katika eneo la Kurasini, Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa taarifa zilizoripotiwa, Padre Kitima alivamiwa na watu wawili wasiojulikana na kushambuliwa kwa kitu butu kichwani na mwilini na kusababisha majeraha mbalimbali.

Tunaungana na taarifa iliyotolewa awali na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira kulaani vikali kitendo hiki cha kikatili na kisicho na utu dhidi ya kiongozi wa dini ambaye amejitolea maisha yake kuhudumia jamii kwa upendo na uadilifu.

Soma Pia: Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Chama kinatoa wito kwa vyombo vya usalama kufanya uchunguzi wa kina na wa haraka ili kuwabaini na kuwachukulia hatua kali wahusika wa tukio hili. Aidha, CCM inatoa pole kwa Padre Dkt. Charles Kitima, familia yake, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, na waumini wote wa Kanisa Katoliki kwa mshtuko na maumivu yaliyosababishwa na tukio hili.

Tunamuombea Padre Kitima uponaji wa haraka na kurejea katika majukumu yake ya kiroho na kijamii.

CCM itaendelea kushirikiana na taasisi zote za dini katika kujenga taifa lenye kulinda na kuendeleza misingi ya amani, umoja wa kitaifa, mshikamano, heshima na linaloheshimu haki za binadamu.

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi
KATIBU MKUU
1/05/2025

View attachment 3322096
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤣🤣🤣🤣🤣😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😂😂.

Napita tu!! UNAFIKI MBAYA SANA
 
Wanajitekenya na kucheka hao CCM mbuzi kabisa
 
Huu sasa ni Unafiki wa Wazi wazi kabisa, nadhani hata yeye mwenyewe binafsi aliyesaini tamko hilo amefanya hivyo huku nafsi yake ikiwa inamsuta.
 
Waache kujifanyaa ,Leo ndo wanajua kulaani?? Wlaishindwa kulaani ya LISSU, Mzee Kibao ? Akina Soka ? Majuzi CHADEMA wametekwa, wamepigwa ??.

Wameingia kwenye Vita ya RC, ngoja Sasa wafahamu kua RC ni DINI na NCHi .

Tamko hili limenikumbusha kusoma kitabu changu kiitwacho 'The Snake in Suits.'
 
Hivi wanaopanga matukio haya huwa wanafikiri Watanzania wooote ni mambumbumbu?? Kuwa hawatajulikana? Sasa hapa si ndio wanazidi kuharibu mambo? Hawa watu hawanaga kufikiri aisee..
 
Back
Top Bottom