RICARDO KAKA
JF-Expert Member
- May 26, 2012
- 865
- 338
Jaamani sasa ndo nini hvyo tunafanyiana lakini. Hamjui leo ni SABATO YA BWANA, ndo nini kuchekeshana hivyo?
Nilishawahi..ila simba wa CCM nadhani watakua tofauti
Sasa huyu fisi ni kama kivutio cha wananchi kwenda kwenye mikutano yao ama?
hao ndo wauwaji wa albino
Kwani hizi mambo wameona hazileti watu au?
View attachment 232652
Labda kama atakuwa anaongea Vinginevyo potelezea wawezwa kulogwa ukawa mwanachama ww chama cha mafisadi.Nakushauri tu usiende:nono::disapointed::nono::nono:
Umesema sahihi kabisa. Hawa si wema. Angalia huyu naye hapa anafanya nini? Halafu wanajidai kupiga marufuku ramli na kujifanya hawawafahamu wauaji wa albino wakati ni ccm hawa hawa?
![]()