CCM yakusanya fisi ili kuboresha mahudhurio

CCM yakusanya fisi ili kuboresha mahudhurio

Criterion

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2008
Posts
11,797
Reaction score
11,899
27.jpg




Idaya ya wanyamapori mko wapi? Ni halali kwa vyama vya siasa kuanza kukusanya wanyama kwenye mikutano ili kuboresha mahudhurio? Nini haki za wanyama hawa kufungwa minyororo na kulazimishwa kuhudhuria mikutano ya ccm? Hivi hii ni nini jamani?

Ccm wamekosa watu hata wakusomba kwa malori maana wengi wanakihama chama hicho kwa kasi kubwa.

Juzi imeshitukiwa kwenye kamchezo ka kulazimisha wanafunzi wa shule kwenda kujaza mikutano yao.

Sasa huu mbadala ya kukusanya fisi ni sahihi kwa mujibu wa haki za wanyama pori?

Idara ya wanyamapori iweni makini na ccm. Sasa mmeingiliwa na mkizingatia ccm ni maaarufu kuhujumu na kusafirisha wanyama kwenda nje ya nchi, msishangae kuona wamegundua soko la fisi mahala fulani.

Kaeni chonjo na ccm, hawana wema kwa mtu wala kiumbe chochote.



attachment.php



Na kwa mwendo huu wa fisi na haya tuyaonayo hapa, kwa nini wasikamatwe ccm wote na wahojiwe kwa mauaji ya Albino?
 
ccm wamechoka wameanza kutumia fisi wanahitaji kupumzishwa
 
Hii Mbaya sana, imetokea wapi ndugu yangu
 
Mwaka huu ccm watakusanya mpaka simba kwenye mikutano yao
 
Huyu fisi ndo kivutio cha CCM kuwavutia watu kwenda kwenye mikutano ya ccm

Ndio njia mbadala maana walijaribu kuwalazimisha wanafunzi mkaingilia kati wakawarubuni kina mama mkawakataza wake zenu sasa iliyobaki ni kutangaza utalii ktk mikutano yao.
 
Ukiweka picha habari yako itapendeza sana
hivi JF inapatikana pia kwa Maandishi Vinundu yale ya wenye matatizo ya Upofu? maana huyu jamaa ni Kipofu haoni hapa ila amejua post inasemaje
 

Attachments

  • 1425718193257.jpg
    1425718193257.jpg
    40.8 KB · Views: 1,529
  • 1425718226668.jpg
    1425718226668.jpg
    9.8 KB · Views: 4,424
Back
Top Bottom