CCM yakusanya fisi ili kuboresha mahudhurio

CCM yakusanya fisi ili kuboresha mahudhurio

Kuonyeshwa fisi ni matokeo ya Big Results Now!!! Kweli bado tuna safari ndefu sana.
 
Huku mnashangaa na kuwachekea fisi, kule wenzenu wanauza nchi kwa wageni
 
Hao ndio wazee wa albino ma dealer wakubwa kabisa!loh kweli tatizo halitaisha kwa style hii..halafu wanataka safisha waganga wa kienyeji..kweli litawezekana hilo?
 
Fisi hao walikuwa mafunzoni namna ya kubeba mifuko ya fedha zile za Rugemarila kupeleka kwa mkuu wa kaya
 
ccm wanaacha kutoa ajira kwa wananchi wanatoa ajira kwa fisi, inverse mind
 
27.jpg
 
Naomba kujua hawa fisi kesho watatumika mkutano wa eneo gani niende.

cc fisiem.
 
Back
Top Bottom