Wakikusanya simba namimi ntaenda....
Utaenda kushangaa simba au kumsikiliza kinana?
Simba...Kinana wa nini
alikuwa hajawekaMbona picha ipo hapo kiongozi
Hujawahi kumwona simba?
Ccm niwachawi wakiitwa kua ndio wanauwa albino watakata? Kwa namna hii?
Nilishawahi..ila simba wa CCM nadhani watakua tofauti
Kwa huyu fisi uliyemwona yupo tofauti na fisi wengine ndo hao hao
Ccm ni chama kikongwe hadi wanyama wakali wanakitii
chama cha mafisi CCM