Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,081
Baada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua kwenye mfupa, ndani ya CCM hakukaliki, na mpango uliopendekezwa kufanyika kwa haraka ni kumvua uanachama Humphrey Pole Pole.
Mchakato uliopangwa ni kumuita haraka kuja kujieleza (jambo ambalo huenda Polepole atalikaidi, maana anaweza asirejee sasa hapa Tanzania na pia halitabadilisha chochote) na baada ya hapo itatangazwa kuvuliwa uanachama.