Tetesi: CCM yajipanga kumvua uanachama Humphrey Polepole

Kila mtanzania mwenye akili timamu hataki huu uongozi wa awamu ya sita.Awamu ya kuteka watu na kuua na kukumbatia mafisadi na kuuza Mali zote muhimu za Tanganyika Kwa waarabu.Tunaomba na viongozi wengine wajiuzulu ili hii simbilisi abaki yenyewe na mkwe wake mchengelwa ili apate akili ya namna ya kuongoza nchi vizuri
 
Baada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua kwenye mfupa, ndani ya CCM hakukaliki, na mpango uliopendekezwa kufanyika kwa haraka ni kumvua uanachama Humphrey Pole Pole.

Mchakato uliopangwa ni kumuita haraka kuja kujieleza (jambo ambalo huenda Polepole atalikaidi, maana anaweza asirejee sasa hapa Tanzania na pia halitabadilisha chochote) na baada ya hapo itatangazwa kuvuliwa uanachama.
Haina sababu
 
Sioni kama wataweza kumvua uanachama, maana alichofanya Gwajima ndio alichofanya yeye sasa.
 
Baada ya Humphrey Polepole kufanya shambulio zito la ghafla la kisiasa kitaifa na kimataifa dhidi ya utawala wa sasa wa Mama Samia, tayari ndani ya CCM kuna maumivu makali ikiashiria kisu kimetua kwenye mfupa, ndani ya CCM hakukaliki, na mpango uliopendekezwa kufanyika kwa haraka ni kumvua uanachama Humphrey Pole Pole.

Mchakato uliopangwa ni kumuita haraka kuja kujieleza (jambo ambalo huenda Polepole atalikaidi, maana anaweza asirejee sasa hapa Tanzania na pia halitabadilisha chochote) na baada ya hapo itatangazwa kuvuliwa uanachama.
chadema leo wanamuona polepole ni hero

baada ya kuwatesa kwa miaka 6 mfululizo

chadema wanafata ile ya nzi anaweza kua nyuki akatoa asali

kitu hawakijui nzi ni inzi tu
 
Back
Top Bottom