Waliitwa kwenye kamati ya Uongozi chini ya Waziri Mkuu, wakaambiwa wajiondoe wenyewe, wakajifanya kulia lia kwamba inaonekana vibaya, lakini msimamo ni ule ule lazima waondoke na wamekubali, wanajaribu kulia lia huko kokus waonewe huruma lakini hakuna!, stay tuned!
wadau mtupe habari vizuri maana ni jambo jema sana na ni historia nzuri sana. Kambi ya upinzani itakumbukwa daima kwa kutokukata tamaa wanapoibua mambo na kuyaweka wazi. Nini kwa sasa kinaendelea hapo DODOMA kwa sasa?
Mama Mhagama na TBC wanatuletea HABARI MPASUKO wakati hamna wanachoongea cha maana. Hivi TBC mnajua Breaking News inamaanisha nini? Turudishieni burudani yetu ya muziki. Aaaaaarghh
Open Group mpya imefunguliwa facebook kwa jina la Ukombozi Tanzania. Unaruhusiwa kujoin pamoja na kuinvite watu mbalimbali kwenye group. Aim ni kuwa na kila mtanzania anayetumia mtandao wa internet awe kwenye hili group tayari kupashana habari pamoja na Kuikomboa nchi yetu. Ndio kwanza tumeanza kuchukua hatua sio kila siku maneno.. Jiunge na hiyo group sasa na unganisha na wenzako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.