Na Nyie mmetambua hii hali? Sasa hivi ukiwa unasafari ya Dodoma HQ unapewa "Treatment" ya ki VIP tofauti na ukisema unasafari Dar au mikoani kwingine

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,135
49,866
Muda unakwenda mbio sana,hapo zamani za kale Ukiwa unasafiri Dar unaonekana mtu mzigo na WA heshima tofauti kule walikuwa wanaita Mikoani.

Ila Kwa sasa kibao kimegeuka yaanj Dar Kwa Sasa ni Mkoani tuu kama Sumbawanga au Simiyu kiasi kwamba anaesafiri kwenda Dom HQ Huwa anakuwa treated with honour and VIP preferences hususani unapotumia usafiri wa Umma kama Mabasi.

Ikumbukwe safari za Dom Makao Makuu sio zile za kihuni wanazoita hakuna kulala kama huko Dar.Kwanza mtu anaesafiri usafiri wa hakuna kulala(yaani usiku kucha) anaonekana njaa Kali na hawezi pata heshima stahiki.

Polisi wa Mikoani wakiona Mabasi yanayoenda Dom Huwa hawayasumbui kama Mabasi ya Mikoani huko Kwa sababu wanajua asilimia kubwa humo Kuna maofisa wa Serikali 🤣🤣🤣🤣.

My Take
Mda unaenda mbio sana,Dar tuliyokuwa Tunaenda kushangaa mataa na magorofa saizi ni Mkoani tuu Kwa wachuuzi 😁😁😁😁.
 
Muda unakwenda mboo sana,hapo zamani za kale Ukiwa unasafiri Dar unaonekana mtu mzigo na WA heshima tofauti kule walikuwa wanaita Mikoani.

Ila Kwa sasa kibao kimegeuka yaanj Dar Kwa Sasa ni Mkoani tuu kama Sumbawanga au Simiyu kiasi kwamba anaesafiri kwenda Dom HQ Huwa anakuwa treated with honour and VIP preferences hususani unapotumia usafiri wa Umma kama Mabasi.

Ikumbukwe safari za Dom Makao Makuu sio zile za kihuni wanazoita hakuna kulala kama huko Dar.Kwanza mtu anaesafiri usafiri wa hakuna kulala(yaani usiku kucha) anaonekana njaa Kali na hawezi pata heshima stahiki.

Polisi wa Mikoani wakiona Mabasi yanayoenda Dom Huwa hawayasumbui kama Mabasi ya Mikoani huko Kwa sababu wanajua asilimia kubwa humo Kuna maofisa wa Serikali 🤣🤣🤣🤣.

My Take
Mda unaenda mboo sana,Dar tuliyokuwa Tunaenda kushangaa mataa na magorofa saizi ni Mkoani tuu Kwa wachuuzi 😁😁😁😁.
muda unakwenda mboo?
 
Seems unawaza na kuandika matusi sana kwa device yako, rekebisha hapo bold ewe chawa.
 
dodoma ipi unaongelea mkuu
hii hii ya ndugu zetu akina matonya 😆 😆 😆
 
Back
Top Bottom