CCM yaitisha press conf. Bungeni Dodoma sasa hivi

CCM yaitisha press conf. Bungeni Dodoma sasa hivi

JK alitakiwa aahirishe ziara yake ya kuvaa kofia brazil haina tija .. aje kujali wananch wake . cku zote hukimbia matatizo anamwanchia pinda kiasi kapinda na anahukumiwa kwa kupinda pasi kuelewa kapindishwa na JK
 
Ni muda wa kuongelea suala la wao kushitakiwa sasa we are done na kujiuzuru
 
naona wabunge wanne hawatoshi wanatakiwa wawe nane!
 
kweli kujiuzuru tu hakutoshi washitakiwe pia maana wasipo shtakiwa itakuwa ni formula kiongozi anakula kwa kadiri awezavyo anajua si atajiuzuru tu na ashakusanya pesa zake hakuna kitakacho fuata.
 
JK alitakiwa aahirishe ziara yake ya kuvaa kofia brazil haina tija .. aje kujali wananch wake . cku zote hukimbia matatizo anamwanchia pinda kiasi kapinda na anahukumiwa kwa kupinda pasi kuelewa kapindishwa na JK

Mheshimiwa BPM uko juu nimekukubali kwa vina!
 
Idadi haijatimia ya mawaziri wanaopaswa kujiuzulu.

mawaziri wanaotakiwa kujiuzulu ni saba na naibu waziri mmoja.... ni nani tusubiri waziri mkuu pinda ndiye aliyepewa dhamana ya kutangaza maazimio ya kikao cha jana usiku atayataja kwenye kikao cha bunge kabla ya kuhairishwa kwa bunge hii leo
 
Idadi haijatimia ya mawaziri wanaopaswa kujiuzulu.
ni mawaziri saba na naibu waziri mmoja ambao wanatanjwa kuwa niWaziri wa Fedha, Mustapha Mkulo, Waziri wa Uchukuzi, Omar Nundu, Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Mkuchika na Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Cyril Chami na naibu wake, Lazaro Nyalandu.

Pinda anataraji kuwatangaza mchana wa leo kabla ya kuhairisha bunge tusubir
 
JK alitakiwa aahirishe ziara yake ya kuvaa kofia brazil haina tija .. aje kujali wananch wake . cku zote hukimbia matatizo anamwanchia pinda kiasi kapinda na anahukumiwa kwa kupinda pasi kuelewa kapindishwa na JK
We ni Richard Mabala nini !? Maana hivyo vina !
 
KWELI NIMEANZA KUAMINI CCM yangu INAKUFA KIBUDI

Nape vipi? CHAMA KINAKUFA

Dr. Kupeng'e usingoje Ccm ikufie mikononi, jiengue mapema na uelekee kwenye chama cha ukombozi CDM.
kwani wewe pia unahitajika uwe mkombozi wa Watanzania.
 
JK alitakiwa aahirishe ziara yake ya kuvaa kofia brazil haina tija .. aje kujali wananch wake . cku zote hukimbia matatizo anamwanchia pinda kiasi kapinda na anahukumiwa kwa kupinda pasi kuelewa kapindishwa na JK

Ndio zake safari na siku hzi misiba! Anapenda misiba huyo; kila msiba lazima aende!! Ningekuwa mimi ndio mtoto wa mkulima ningeachana na siasa.
 
Back
Top Bottom