Yericko Nyerere
Platinum Member
- Dec 22, 2010
- 17,027
- 20,519
Anaepiganiwa akatwe na wanaopigania wamkate sioni tofauti yake naona wote ni maccm na kwa maana hiyo ni mafisadi yaliyobobea. ...sasa kumkata mtu wakati hawana tofauti je yanatumia kigezo gani magamba haya?
Kuanzia ale Yeriko alipojiunga na dini ya kipuuzi hakika nimemdharau sana
Ukawa hakuna kitu na hata Lowassa hakuna ki2Ukawa katika ubovu wao....
Hakatwi mtu maan yake nini, wote 40, watakwenda IKULU? Na Lowassa wenu mmechanganyikiwaLowassa ni laigwanan hakatwi mtu hapa komaaa hadi mwisho lowassa.
Mwaka huu wanagawana mbao
"Urais Tanzania, kuanzia 25/10/2015, iwe mchana au usiku, iwe kiangazi au masika, iwe mawingu au jua kali, Dr Slaa chini ya UKAWA ndie rais wa wote, wema na wabaya".
CCM tuko imara sana! Hizi taarifa wala sio mpya ila wajumbe wana taarifa zote bila shaka.
Utahangaika sana na CCM wakati UKAWA hawana mgombea mpaka leo.
Mandla.
Kamati kuu ya CCM inayotarajiwa kukutana leo jioni jijini Dar es Salaam itatoa ujumbe mzito kwa wasaka urais wa CCM.
Rais Kikwete anayetarajiwa kuongoza kikao hicho, mbali na teuzi mbalimbali zitakazofanyika, pia Kikwete ameonyesha kukerwa na baadhi ya mwenendo ya wasaka urais wa CCM wakiwemo January Makamba, Edward Lowassa na Benard Membe ambapo anatarajiwa kutoa ujumbe mzito kwao.
Kiwete ameonyesha kustushwa na mwenendo wao wa kupiga kampeni waziwazi huku akisema kuwa "kamati kuu haitothubutu kuwapitisha wafanya mazingaombwe"